Mwigulu siyo mlaini kama alivyo Chongolo

Mwigulu siyo mlaini kama alivyo Chongolo

Yani mimi ningekuwa Mwigulu nisingekanusha kabisa.

Ningewaambia ndio ni kweli na muhusika kumfungulia kesi tu.

Alichofanya Mwigulu ni kitendo cha kawaida tu ambacho wengi wetu humu tunafanya.

Bahati mbaya yake ni kuwa wasiomtaka wanataka kutumia ubinaadamu wake kama silaha ya kudhalilisha utu wake.

As long as alikuwa hagongwi yeye, hakuna baya lolote.
Ukiwa kwenye Baraza la mawaziri kuna mambo hutakiwi kufanya
 
Waparuane tu mpaka 2030 watakuwa wachache sana 🤣🤣
 
Nimeiona,ila ku-verify Sina huo utaalam
Michezo ya kisiasa hiyo, najua kuanzia sasa ataongeza umakini.

Lakini liwe angalizo kwa wote wenye nia kuelekea 2040/50 wajifunze kuishi na kufanya kama Kiongozi

Ukimess safari yako ya matumaini itakuwa imemalizwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom