Mwigulu siyo mlaini kama alivyo Chongolo

Mwigulu siyo mlaini kama alivyo Chongolo

Simu za mkopo zimeangukia kwa watu wasiojielewa.
Kuna wanawake wengine hyo ni styl zao tu
Mfano tu unaweza kuwa na pesa,wadhifa utashanga wanawake wanakuwinda
Ukiwa mtu wa chini lzm utatengenezewa ajali
Utajaaa kesho keshokutwa unafanywa ngombe wa maziwa 😄
Ukisha kuwa na fedha,wadhifa lzm ujiweke ukuta lifestyle fulani hata kimada anaogopa nmna ya kukuingia
Alafu hy mmb ya kumwambia dem we chkua room hotel fulani kosa
Mwanaume ndy unatakiwa upange umshtukizie tu wapi unampeleka
Kama unatumia kilaji wakati uko naye we hutakiwi ulewe
Kama kunywa yy ndy anyway zaidi 😄

Ova
 
Kifupi uvccm wa kileo wanna ubongo mwepesi sana!!

Akili za uvccm ziliishia kwa awamu ya kikwete!
Leo mtu mkubwa anaandikiwa barua ya kujiuzulu na kuwekwa 📐 mwingine picha za utupu,

Yale kina kitwanga kulewa na kutenguliwa nayo yapo!

Mbona kikwete alilitumia Bunge kimedani kumshughulikia Lowasa na lowasa akajiuzulu mwenyewe tena public!

Huu ujinga wa sasa ni upuuzi mtupu!

Unapoua upinzani Bungeni utashindwa kutawala vema ,Kuna mambo unawapa script upinzani unakusaidia ku spin mambo,wewe una ua upinzani matokeo yake lazima uwe komedi kama hivyo!!
Sure
 
Kuna wanawake wengine hyo ni styl zao tu
Mfano tu unaweza kuwa na pesa,wadhifa utashanga wanawake wanakuwinda
Ukiwa mtu wa chini lzm utatengenezewa ajali
Utajaaa kesho keshokutwa unafanywa ngombe wa maziwa 😄
Ukisha kuwa na fedha,wadhifa lzm ujiweke ukuta lifestyle fulani hata kimada anaogopa nmna ya kukuingia
Alafu hy mmb ya kumwambia dem we chkua room hotel fulani kosa
Mwanaume ndy unatakiwa upange umshtukizie tu wapi unampeleka
Kama unatumia kilaji wakati uko naye we hutakiwi ulewe
Kama kunywa yy ndy anyway zaidi 😄

Ova
True dat.
 
Kwahiyo Madelu umeamua uingie mwenyewe jukwaani kujitetea baada ya machawa kushindwa kukutetea?

Huo uhalali huna na huko CCM kwa sasa wasafi ni wa kuhesabu , wote hapo mpo kwa damu za watanganyika maelfu mliowaua kwa mitutu na sio kura.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom