Mwigulu Nchemba, umelidanganya taifa?

Kuna mtu mmoja jana alisema hivi, "Kutafuta mgombea safi toka CCM, ni sawa na kutafuta Bikra kwenye Wodi ya Wazazi...."
 
Kuna mtu mmoja jana alisema hivi, "Kutafuta mgombea safi toka CCM, ni sawa na kutafuta Bikra kwenye Wodi ya Wazazi...."

Mmh mkuu, sijawahi ona ni heri utafute bikra katika wajawazito kuliko wazazi maana imeshapitisha mzigo
 
You must be kidding bra, hivi Chenge naye ni mtu wa kumfanyia reference?
​Kuna mahali hatujaelewana tu,ni kwamba huyu jamaa nilomtaja amehusishwa sana na wizi wa pesa za watanzania,ila hana maisha ya anasa kiviiile,so ndo nikasema usimwamini mwanasiasa,anaweza asiwe na maisha ya anasa ila akawa mkwapuaji mzuri sana.................
 

Acha ujinga. Hatuna middle class Tanz. Gamba mkubwa we! Hizi elimu za kuokoteza ni shiiida!Eti wakulima ni middle class mjinga kweli. Km ukitaka middle class kwa tz ni watu wachache sana wanaodanya kazi za mishara. wachache sana kulinganisha na watz wengi mbao ni wakulima maskini na sio middle class.! Kubali kuelimishwa kaka. unaobfea na maphd sio kina Faiza Fox
 

Jina lako lilitakiwa kuwa milembe,kweli umalize digree ukabebe zege!? kuwa makini kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…