Mwigulu nchemba tena!!

Umelala bar bila shaka maana kichwa chako hakiko sawa au basi umelewa ufisadi
 
Na ulivyo mvivu wa kufikiri lazima useme pumba. CCM hamtumii vichwa veyenu kufikiri na mnadhani kuwa waTanzania hawatumii vichwa vyao kufikiri kama mlivyo ninyi.
Ujinga katika vichwa vyenu umewafanya mjifiche katika kauli hiyo siku zote za maisha yenu tangu 2010. Mnawaua watu, mnawanyofoa viungo, mnajeruhi na kutanguliza hiyo kauli ili waTz tupumbazike na ujinga mnaoufanya.

Sisi WaTZ tuna akili timamu na kuhusu kuwakataa nyie Haturudi nyuma hata mkijificha kwenye kivuli cha maneno hayo.

Bomu limetengenezwa China, Mwigulu tangu arudi anavaa kofia ya jeshi la china kwenye Kampeni. Kwa nini avae nembo za majeshi ya watu huku akihutubia hadhara ya Watanzania? Huenda hilo bomu alitokanalo China kwa maagizo ya serikali yake na hivyo alipita maeneo yote ya ukaguzi bila kukaguliwa hadi anakuja kulitumia kwa raia wasio na hatia walioamua kuikataa CCM ndugu zetu wa Arusha.
 

mie nkajua una la maana kumbe masaburi tu, inamaana muda wote huu bado hujamtambua mwigulu anafanya vitu gani, pole we!
 
Ndg, wanabodi,
.....Nanukuu "CCM Imechakachua matokeo, mimi simutambui Kikwete na Nitahakikisha Nchi haitawaliki, Dk. SLAA 2010" Mwisho wa Kunukuu.

Sikiliza Mwigulu, huwezi kukwepa hatia ya damu hizi ulizomwaga, hivyo hizo propaganda mbuzi ni vema ukiziacha kabisa.

Nikuulize hiyo "nukuu" ulionakili hapo ilitoliewa wapi na lini?

Usijaribu kukwepa adhabu stahiki kwa kumlisha maneno Dr. Slaa.
 
na aliyeahidi maisha bora kwa kila mtz mboma nae hahojiwi? Hata jogoo asipowika asubuhi itafika tu.
 
because you know that CDM knows each and everything it is my hope that you also know each and everything.
 

Maelezo hayahusiani&thread
 
Unajua maana ya simba kanywa Chai Ukiwa Malindi Zanzibar? Walio kama wewe ndiyo makazi yao na umbulula wako
 
Bwana (Mungu) hakawii wala hawahi: Dhihaka za kijinga zitafikia mwisho maana ipo siku Mungu atasikia kilio cha wale wanaosema au kuteseka kweli ikiwa ni ccm au cdm na watanzania ambao kimsingi kweli maisha yao ni magumu chini ya dola 1
 
Ooops, another lazy thinker!
 
mwiguuuluu chemba ni shetani, wewe kibaraka wake huwezi kutambuwa na usizani watanzania ni vilaza kama wewe
 

Mwigulu ahusike asihusike, mauaji mengi ni ccm, vip kupigwa wanachadema mikoan? We mnapiga watu ili mtawale, dokta slaa kajenga umoja, rule and divide yenu imeshindwa.
 
Correct. CDM people know everything because they saw everything and they have concrete evidence to be given before credible people.


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ni kweli Dr. Slaa ndo alimfyatulia risasi yule mtoto aliye hospitali:hakiri ndogo zina kazi kweli
 
Una umri gani wewe? Uwe unafikiria kwanza mdogo wangu. Usiwe mtu wa kukurupuka mdogo wangu. Sawa eeh? Haya kalale
 
 
Mkuu taratibu!bomu la arusha zanzibr inahusikaje?
Bobwe nimesoma agenda ya mtoa mada, anacopy mpaka ya Dr slaa. ina maana anashabikia yanayotokea.
nikasema anajua historia ya watu jasiri kama yeye waliofika zanzibar eneo la malindi na ukali wao woooote wakapoozwa????:nod:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…