Mwigulu nchemba tena!!


Muda bado subiri siku ikifika,hata wewe mwenyewe utashanga na hutaamini kitakachokuwa kinaendelea.
 

Nenda kaendelee kulewa Chibuku maana hata nukuu yenyewe umechakachua. Ubongo wako wa kufikiri upo kwapani
 

Unajua usilete useng>>e kwenye swala la majonzi km hili kama huna cha maana cha kuongea please nakuomba ukae kimya ujafokwa ma haya yaliyotukuta so please please usituletee mzaha kabisa
 
Naomba kuuliza wanajamii,hii forum ni ya chadema? kwa sababu ukiwa kinyume na chadema kidogo tu,utashambuliwa na matusi makali, ambayo mimi sioni sababu ya kutukanana kwa sababu kila mtu ana uhuru wa kuwa mahali popote,chama chochote ili mradi tu avunji sheria,tuwe wastaarabu jamani,tukosoane bila matusi na kwa hoja sio kuropoka tu.
 
Sasa mtamuelewa nape nnauye aliposema chadema wamejilipua wenyewe ukiunganisha pia na matamshi ya Mbowe huambiwi tazama kwa wenye macho na ujue haiwezekani kuku kutotoa mapacha
 
CCM na viongozi wake hasa Nape na Chemba za vyoo ni wapuuzi na wapumbavu...wanafanya ushenzi na ukatili kwa watanzania wakidhani kutumia neno "Nchi haitatawalika" alilosema dr Slaa watawaaminisha watz kuwa CDM ndio watuhumiwa..Ndugu wanajamvi fatilieni kauli za hao viongozi wa CCM toka tukio hili la kikatili kutokea wanavyokazania na kuwahusisha CDM kwa kutumia kauli ya dr slaa..sie tunawaambia wtz wa leo sio wa jana..tunafahamu na kujua kinachoendelea nyuma ya pazia...subirini muda ukifika tutawanyonga kwa maovu yenu..
 
CHADEMA kimepewa mafunzo na ushauri kutoka nje ya nchi kuwa kikitumia baadhi ya watumishi wa vyombo vya dola wasiokuwa waaminifu kuteka, kuumiza na hata kuua baadhi ya watu maarufu nchini wakiwamo waandishi na wanasiasa, basi wananchi wataamini kuwa Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake kimeshindwa uongozi na sasa kimeanza kazi ya kuua wanaowapinga.

Kwa njia hiyo, inaelezwa kuwa hesabu za Chadema ni kuwa wananchi wataichukia CCM na Serikali yake na kukipa nafasi ya kuingia madarakani. Hapa kauli ya Chadema kuwa NCHI HAITATAWALIKA itakuwa imetimia.

Source: Ripoti ya uchunguzi wa kutekwa na kushambuliwa kwa Absalom Kibanda - wavuti.com
 
Boss wako nape ameshajua ni mwanamme gani alitumbukeza mbegu ndo yeye akapatikana?
 
Kumbe mnaua ili mrejee ns kusndaa namna ya kuwahadaa watz huku mkijua kuwa mmepoteza mvuto????? Cccm ni sawa namavi. Kamavipi mud nifungie kama kawaida yako.

Hapo kwenye red sio mavi sema MASHONDE tena ya Binadamu
 

mkuu asante kwa majibu mazuri uliyompatia huyo Gamba la kobe!! Ukiwa ccm akili inahamia kwenye masa...bu..ri...
 
Sijui kwa nini Tanzania ni maskini.
 
Heading:MWIGULU TENA!!
Habari😀r.SLAA!!
Atawaua kwa Bp.
Kaka yako SAVIMBI MIDEVU yuko wapi?mbona kakaa kimya sana,msalimie mkiwa mnagonga chiaz maana kazi imeenda poa.
 
Nyambafu weeeee.....jicho ya kenge mumaji
 

Uhuru upo wa kuongea point sio unajiandikia pumba kama za magamba.
 
Mmmmm na ww nae ni mtanzania? Assume ww ndo umeuwawa bila hatia then ndo urudi tena humu jamvini
 

Jinga wewe, kajifunze kwanza english, "Cdm they''.
 
Ngoja nikajikumbushe ahadi za mhishimiwa; huenda zipo zilizokwisha tekelezwa.
Hivi waweza chezea nyama mbele ya fisi mwenye njaa ambaye hana matumaini ya kesho!
Hivi yale maisha bora yalikuwa kwa wote au familia.
Ngoja nikasome ahadi kwanza; huenda hosipitali huduma zimeboreka na huko skuli vipi walimu wamekwishalipwa.
Tz ni miongpni mwa mataifa ambayo watu wake wanaongoza kwa msongo- kisa ugumu wa maisha
 
Kwanza nianze kwa kukupinga....
Dr.Slaa hajawahi kusema "nitahakikisha nchi haitawaliki"

Dr. Slaa alitoa mambo kadhaa na daima huwa anayazungumzia ikiwamo mfumuko wa bei na ufisadi...kuwa kama yasipodhibitiwa nchi haitatawalika....
Na huenda mbali zaidi kwa kuelezea mambo au sera za CHADEMA jinsi zilivyokusudia kumkomboa mwananchi wa chini....ndio maana hata polisi hawajawahi kuwa na shaka na kauli yake kwa sababu huwa wanakuwepo mwanzo hadi mwisho katika mikutano yake...
Haya uliyopost hapa sio maneno ya Dr.Slaa bali ni maneno ya kulishwa "hearsays"....nakuomba kama great thinker jifunze kutafuta ukweli.
Swali : Kama unaamini polisi hawakurusha bomu,basi amini kutokana na incidence ya Mwangosi basi polisi huwa wanahusika katika mauaji na daima hupinga.
 
NITAHAKIKISHA NCHI HAITAWALIKI!! Hakusema hivyo, mmezoea kumlisha maneno mzee wa watu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…