Hv mwigulu Nchemba kitendo cha kuvaa skafu hadi makanisani nini manake,nimeanza patwa mashaka hakika pengne ni hirizi yake,mana haiwezekani kila uendako unako,ndio mlinzi wako,Mungu amesema Bwana asema amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu kuwa kinga yake,kila mahali umelivaa tu,si kanisani,msaidien huyu kijana,