Mwigulu Nchemba na Siasa za kishirikina Iramba magharibi

Mwigulu Nchemba na Siasa za kishirikina Iramba magharibi

Status
Not open for further replies.
Mwigulu Mwigulu, mtahangaika sana lakini ukweli utabaki, watakaopiga kura ni wanairamba na mwigulu kwao ni BABA WA YATIMA

mkuu ni kweli umepigwa kulala kwenye lodge moja hapo iramba coz of ugagula?
 
Ukitaka kujua kuwa huyu ni Mlokole soma hapa.
bongonewztz.blogspot.com/2012/09/dalali-kafumu-apata-ajali-nchemba.html?m=1
 
Ushauri wangu mrudie mungu kikwelikweli, nakujua vizuri sanaaa kwako dar na biashara zako mwenge n.k..... kwani ni bora kuwa MOTO AU BARIDI KULIKU KUWA VUGUVUGU UTATAPIKWA NDUGU..

Umekuja kwa kasi sana, jaribu kuuma na kupuliza kwan uju kesho itakuwaje, au shemeji( mkeo) aliyeko ofisi ya takwimu mbona nitofauti na wewe.

Change bhana..... usitukane sana, kwani wasira ameshakula chumvi anasubiri kufa ndio maana anatukanatukana hovyo usimuinge na wewe bado nikijana.
*Mkuu inaonekana unamjua vizuri sana huyu ndugu yetu Mwigulu, ushauri uliompa ni mzuri na muhimu sana kuuzingatia sasa, bado hajachelewa, milango bado ipo wazi. Tatizo kubwa kwa Mwigulu ni uwoga wa kumdisappoint JK kwa kuwa ndiye aliyemwamini na kumpa madaraka makubwa kisiasa.

Asisubiri mpaka siasa imwaribie maisha yake yote, ndoa yake, imani yake, familia yake ama kumnyima amani.
Watu wa karibu sana na Mwigulu wanasema kwa sasa Mwigulu amebadilika sana, yaani japokuwa amefanikiwa kiuchumi(Pesa, magari, Nyumba, Biashara) na kisiasa(Ubunge na unaibu katibu mkuu wa CCM)lakini ni mtu asiyekuwa na amani tena, raha ama utulivu katika maisha yake ya sasa.
Imani yake na ndoa yake inaonekana imeyumba sana, sio mtu wa imani wala familia tena, too busy in CCM politics.

*Kwa siasa za CCM za sasa mambo ya Hila, Ufisadi, Mauaji, Ushirikina na Uchawi ni suala lisiloweza kuepukika kirahisi kama utakwepa kushiriki moja kwa moja basi utayatetea tu tena kwa nguvu kubwa na matusi juu.

*Mwigulu Nchemba, Nape Nnaye, Lazaro Nyarandu, Samweli Sitta, Martha Mlata, Getrude Rwekatale, Peter Kafumu nk. inasemekana walikuwa ni waumini wazuri sana wa dini ya kikristo(Walokole!) but walipopata madaraka makubwa ndani ya serikali au CCM hususani kipindi cha uongozi wa Kikwete wamekuwa ni Wapagani wakubwa(japokuwa bado ni wahudhuriaji wa makanisani)

...... Kumbuka upendo wako wa kwanza, Kumbuka ulipo angukia ukatubu!!!
 
Salam, hivi tumeishiwa post? Kwanini tunafikiri kwa namna hii. Haya ni mwatumizi mabaya ya social network.

Wengine hatuna uwezo wa kufika kwenye majukwaa unapoachia matusi na kejeli za waziwazi. Kila mmoja na jukwaa lake. Nyani haoni..........
 
Mwigulu Mwigulu, mtahangaika sana lakini ukweli utabaki, watakaopiga kura ni wanairamba na mwigulu kwao ni BABA WA YATIMA

acha uongo we ndo mchawi mwenyewe,watu washakuelewa we ndo mchawi uliepeleka ujinga wa manyaunyau kisana,so jipange wa wachawi wenzio akina mlewa.
 
Mtambulila kunuma usuli utile, umwigulu witu kumlogiluwe sikakukaila. Na kisana ndio nyumbani kwake

wewe mchawi ndo wewe unatuzuga kwa id ya shelui,mchawi mkubwa umemuua HASANI AFU UKACHUKUA MSUKULE ndo unakuja kuzuga unajua kinyiramba,kisana sio kwenu au umesahau kwenu MAKUNDA KULE AMBAKO HAKUNA UMEME,
 
Mwigulu ni kama Daud wa Yese, wanairamba tumepewa na MUNGU. NI NYERERE WA IRAMBA

kyaaa,uwe nkyalu mbiii,uwe tile kakintu mbaneuwe umgila ka masali,wili izi dyumbili,LABDA WEWE NI NYERERE WA CHOONI KWENU KULE MAKUNDA BUT SIO IRAMBA NINAYOIJUA UMESAHAU SHANGO,KILIMBA,KIULA NAO WALIJIFANYA AKINA NYERERE KAMA WEWE KILAZA na MWIII WA LINA,
 
Frama mwigulu ni mcha mungu hajifanyi mlokole bali ni mlokole fuatilia vizuri. Kijana wa watu ana hofu ya mungu na neno la mungu liko ndani yake

wewe nchemba acha uzandiki wewe ni mchawi mkubwa,pia unamcha mungu yupi wakati ULITUMA WAHUNI NDAGO KUTOA ROHO ZA WATU LEO UMESAHAU ULIVYOFICHA MAITI ZA VIJANA WATATU ULIOWATUMA KULETA GHASIA AFU LEO UMEGEUKA MCHA MUNGU,haki ya mungu utachomwa vibaya wewe.
 
Aweda, NILIPOST NI MWENYEJI WA KIJIJI CHA KISANA, NAMFAHAM VIZURI SEMBE MALUA. NA HAL ILIVYOKUWA INENDA TOKA AWALI ALIPOKUJA MANYAU NYAU, ILIONYESHA KULIKUWA KUNA LINK KATI NDUGU MANYAU NYAU NA MWIGULU.LENGO IKIWA KUMTAFUTA SEMBE KWA NJIA YOYOTE ARUDI CCM MAANA KWA USHAWISHI WA PESA NA YANAYOFANANA NA HAYO WALISHINDWA-USIOMBE KUSINGIZIWA UCHAWI KIJIJINI, HUTAISHI INABIDI TU ULEGEZE KAMBA.
 
Niite nami nitakuitikia nitakuonyesha mambo makuu magumu usyoyajua Yer 33:3. Mwigulu mrudie mungu hujachelewa!
 
Duh mwigulu nchamba ni baba wa YATIMA, of course waweza kuwa sawa maana kwa yeye wengi wameuawa na hivyo kuacha wajane na watotot YATIMA kibao.
 
Ahsante kamanda,umeeleza ukweli mtupu hujapunguza neno wala hujaongeza neno,ila napenda kuongeza kuwa mwigulu nchemba anatuhumiwa kujihusisha na mambo ya kichawi;

Napenda kuweka wazi kuwa ndg nchemba amepigwa marufuku kulala kwenye lodge moja hapa iramba kutokana na kuleta usumbufu usiku,inasemekana kuwa kila alipowasili logde hiyo usiku kulitokea mawengemawenge ambayo yalipelekea usumbufu mkubwa,pia inasemekana mara ya kwanza nchemba kulala hapo kuna mama mmoja alizimia ghafla akiwa kwenye korido kuelekea chumbani mwake,alipokuja kushtuka akaulizwa ni kipi kilichotokea na akasema hivi,"niliona fisi na bundi wa kiingia kwenye chumba cha mbunge wetu",

kitendo hicho kilimpelekea mmiliki wa lodge hiyo kwenda usukumani kumtafuta mganga ambae alikuja nae na ndipi ukweli ukawekwa wazi kuwa mwigulu nchemba huwa anasindikizwa wachawi maarufu pale kijijini kwao na ndipo mmiliki huyo alimpiga marufuku mbunge huyo kukanyaga kwenye lodge yake,..

kumbe ndo maana ana akili za kishetani
 
Ni mengi yanayoendelea kwa hewa!!hayo ni machache kati ya lukuki....
 
Mwigulu Nchemba anahitaji kukutana na nguvu za Mungu aliye hai mbaye uchawi wa Farao na Goliati uligonga mwamba.Mnachotakiwa watu wa Iramba ni kufunga na kuomba bila kujali dini yako ili kukomesha nguvu ya ushirikina na kudhoofisha uchawi.Ndiyo maana tunasema kuipenda ccm ni kuipenda jehanamu na kuitumikia ccm ni kumtumikia shetani.KUMBUKENI WANYIRAMBA: KUCHAGUA KIONGOZI NI HIARI LAKINI MADHARA YA KIONGOZI HUYO MBOVU NI LAZIMA KWA WOTE BILA KUJALI VYAMA VYENU. HIVYO TOENI ELIMU KUANZIA NGAZI YA FAMILIA YAKO.............!!!

Kiboko ya Mwigullu ni popobawa tu....................... hata ile helcopta ya kisayansi kama ya mzee pinda ataisahau
 
Nchi hii haiendelei kwa sababu ya kuwa na viongozi 'vihiyo' kama:
1. Mathay David Mathayo.. huyu alifeli SUA akiitwa Mathayo Cleopa Msuya..
2. Dr Hamis Andrea.. aka Kigwangala.. huyu stori yake muulize kibaraka wa Rostam..
3. Zainul Mustafa .. huyu ni mhasibu mkuu wa jeshi (Payrolls)... jina lake ni Adnan Abubakar Kachwamba..
4. Jacob Mathew Mkumbo.. huyu ni Chief Accountant wa Agricultural Inputs Trust Fund .. jina lake halisi ni HAMIS PYUZA..
Hebu na wewe taja mmmoja ili tuwaumbue na kumwandikia Katibu Mkuu Utumishi.
Source: Rahim Mzee wall on Facebook
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom