Wachawi wote walaaniawe, na wacha Mungu wabarikiwe.Mmmh inatisha sana, mpaka Mwigulu naye yumo kwenye ushirikina!!
Na haya ni baadhi ya majina ya wanasiasa maarufu washirikina hapa Tanzania;
1/Jakaya Kikwete aka Rubani(Amezindikwa na mizimu na Analindwa na majini ya Sheikh Yahya!!)
2/Professor Maji Marefu(Mganga maarufu na mchawi!!)
3/Andrew Chenge aka mzee wa rada(Mmwaga unga wa Kishirikina Bungeni!!)
4/Lusinde aka Kibajaji-matusi(Mchanjwa chale hadi kwenye masaburi!!)
5/Zitto Kabwe aka Rat poison(Kazindikwa na wazee wa kigoma akiguswa tu hata panya hawataishi!!!)
6/Mwigulu Nchemba aka mkware(Mtaalamu wa misukule na kuagua!!)
7/January Makamba aka kuwadi(Bingwa wa kulisha watu yamini kishirikina ili wasisalitiane)
Frama mwigulu ni mcha mungu hajifanyi mlokole bali ni mlokole fuatilia vizuri. Kijana wa watu ana hofu ya mungu na neno la mungu liko ndani yake
Salam, hivi tumeishiwa post? Kwanini tunafikiri kwa namna hii. Haya ni mwatumizi mabaya ya social network.
Mwigulu Mwigulu, mtahangaika sana lakini ukweli utabaki, watakaopiga kura ni wanairamba na mwigulu kwao ni BABA WA YATIMA
Mwigulu Mwigulu, mtahangaika sana lakini ukweli utabaki, watakaopiga kura ni wanairamba na mwigulu kwao ni BABA WA YATIMA
Mwigulu ni kama Daud wa Yese, wanairamba tumepewa na MUNGU. NI NYERERE WA IRAMBA
Salam, hivi tumeishiwa post? Kwanini tunafikiri kwa namna hii. Haya ni mwatumizi mabaya ya social network.
Frama mwigulu ni mcha mungu hajifanyi mlokole bali ni mlokole fuatilia vizuri. Kijana wa watu ana hofu ya mungu na neno la mungu liko ndani yake
Mwigulu ni kama Daud wa Yese, wanairamba tumepewa na MUNGU. NI NYERERE WA IRAMBA
Alipopata nafasi ya kuhutubia alianza kuporomosha matusi ambayo mengine siwezi kuyaandika hapa lakini baadhi ni haya hapa:-
- Chadema wanavaa sanda, rangi nyeupe ni sanda na nyekundu inaashiria mauaji!
- Dr. Slaa alimpa mimba mwanakwaya................ nk
- Chadema wanachezewa tigo na Cameroon.
- Hata yakishindwa chaguzi hayawezi kuja ni kwanini
Nimeeandika baadhi tu mengine hayaandikiki hapa, kumbuka alipokuwa ni kama kilomita 50 tu kuingia Rwanda nadhani hakutegemea kukuta Chadema pale. Sherehe yenyewe ilihudhuliwa na watu wachache na katika maeneo mengine usingejua kama kuna kiongozi mkubwa wa Ccm.
................ni kweli lakini sio kwa staili ya siasa za maji taka kama zinavyoendeshwa na watu wachache wenye upeo finyu,Mwisho wa Mwigulu waja anayebisha tuombe uzima!
Nimeamini UKWELI unauma.Salam, hivi tumeishiwa post? Kwanini tunafikiri kwa namna hii. Haya ni mwatumizi mabaya ya social network.