Mwigulu Nchemba na kashfa ya kudanganya umri

Mwigulu Nchemba na kashfa ya kudanganya umri

service

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2014
Posts
3,118
Reaction score
1,152
Siku chache baada ya Mwigulu Nchemba kupewa barua ya kumtaka ache ziara zake. Sasa wabaya wake wamejitokeza na kuleta visibitisho vinavyo onyesha Mwigulu amezaliwa miaka miwili tofauti.

Wakati cheti chake cha masters kinaonyesha amezaliwa 1978, cheti cha form four kinaonyesha huyu jamaa amezaliwa 1975.

Mwigulu njoo hapa utuambie ulizawaje miaka miwili tofauti.

Source: Wall page IG by Alberto msando.

al.jpg

al2.jpg
 
ndio maana kila wakati nauliza huyu dogo wakati wa utawala wa hayati sokoine alikuwa na miaka mingapi?
_kumbe naye anamsoma kwenye vitabu vya historia tu
huyu ni JUHA tokea Mazengo sec.school
 
CCM 4real
hii ID yako ya ngapi mkuu
nauliza tu
 
Last edited by a moderator:
kama kiongozi mkubwa kama huyu anashindwa kuwa mkweli katika suala la kutaja kwa usahihi mwezi na mwaka kuzaliwa, je leo ataweza kutaja na kutafuta masuluhisho ya matatizo ya nchi???

Na huyu kesho mtasikia anapewa uwaziri kamili, au ubalozi au kesho kutwa utasikia ni gavana....

Sisitimu hii ya kuteuana tu bila kujali mtu ni msafi kiasi gani ni shida sana

kimoja hicho cha masters kimeandikwa tareh 7/7/1978, na kingine cha o-level ni 7 january 1975!!
 
Hivi huyu jamaa ni kweli kabisa kwamba ni msomi haswa aliyesoma na akafaulu vizuri au?
Nauliza hivi kwa sababu huwa namuonaga hata ongea yake ni kama anagushi, 'eeeh eeeh eeeh' yaani hajiamini na akiongea huwa anaongea pumba tu.
Sasa hapo ndipo huwa najiuliza huyu mtu ni timamu kweli mental &physical?
 
kama kiongozi mkubwa kama huyu anashindwa kuwa mkweli katika suala la kutaja kwa usahihi mwezi na mwaka kuzaliwa, je leo ataweza kutaja na kutafuta masuluhisho ya matatizo ya nchi???

Na huyu kesho mtasikia anapewa uwaziri kamili, au ubalozi au kesho kutwa utasikia ni gavana....

Sisitimu hii ya kuteuana tu bila kujali mtu ni msafi kiasi gani ni shida sana

kimoja hicho cha masters kimeandikwa tareh 7/7/1978, na kingine cha o-level ni 7 january 1975!!

Mwenye cheti chake cha A-Level (leaving certificate) aweke hapa tulinganishe. nasikia hata majina yake ni ya kimagumashi sio majina yake halisi
 
Siku chache baada ya Mwigulu Nchemba kupewa barua ya kumtaka ache ziara zake ,sasa wabaya wake wamejitokeza na kuleta visibitisho vinavyo onyesha Mwigulu amezaliwa miaka miwili tofauti. Wakati cheti chake cha masters kinaonyesha amezaliwa 1978 ,cheti cha form four kinaonyesha huyu jamaa amezaliwa 1975 Mwigulu njoo hapa utuambie ulizawaje miaka miwili tofauti. .. Source wall page IG by Alberto msando.
attachment.php

attachment.php

Mwigulu hawezi kujahapa wewe, habarza kweli atakanushaje?
 
Back
Top Bottom