Mwigulu Nchemba na Elibariki Kingu, hata undugu kwenu kwa Lissu umekufa?

Huu ndio usaliti wenyewe sasa?
hivi ni mangapi yanatokea humu TZ na watu wakatoa pole nchi nzima?

mbona hatujamsikia mbowe au kiongozi yeyote akitoa pole kwa meja jenerali mstaafu ambaye pia alipigwa risasi kama lissu?
kwenu chagadema lissu amekuwa mtaji wa kisiasa?
 
Back
Top Bottom