Mwigulu Nchemba: Mnasema maisha magumu? Magari namba E yamejaa Barabarani, na Benki kuna foleni

Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amewashangaa na kuwazodoa wanaodai Kuna maisha magumu wakati Kuna Utitiri wa magari Namba E Yamejaa Barabarani,Harusi na Bar Zinajaza na Benki Kuna Foleni ya kutoa na kuweka pesa.

Mwigulu anasema Suala la ugumu wa Maisha ni hakuna siku litaisha Duniani ndio maana hata Mataji wakubwa wanajiua.

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1763230060654318057?t=CxsEpOsdZjyLYxbzzsT2gg&s=19

My Take
Naungana na Mwigulu,Maisha magumu ni subjective na sio jukumu la Moja kwa Moja la Serikali.

Huyo ndio maana walikuwa wanamuhisi chet feki

Inamaana kama kweli shule imekaa vzr hajui kama serikali inaweza kuchangia ugumu wa maisha?

Zero brain huyo
 
Aisee.. kwa hiyo hizo ndio data za kitaalamu kuonyesha kuwa kipato Cha mwananchi kimeongezeka!?
Sasa wazir wenyewe zero atakuwaje na data za kitaalam?

Amkumbuki magu aliamua kumtumbuaga alipokuwa wazir wa mambo ya ndan?

Sababu alishamjua kabisa kuwa kile kiti sio size yake
 
Hana akili na hatofika mbali, hakuna mtu anapenda kiongozi wa aina hii, mjuaji asiyejali, watu wanahoja za msingi yeye anakuja na majibu ya kitotot na mzaha.
 
Kwa Dar ni sawa. Ni kweli migari ipo ya kutosha, Kuna hadi mtangazaji kajenga jumba la Bilioni huko. Sijajua kwa walio wengi nje ya jiji iwapo:

1. Bado wanakunywa maji ya mifereji.
2. Watoto wao wanasoma kwenye shule zisizo na madawati wala matundu ya vyoo.
3. Iwapo huduma za Afya zinapatikana km 30/40 kwa kutumia baiskeli.
4. Iwapo Hospitali zao kinamama wanajifungulia chini.
5. N.k n.k n.k
 
Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amewashangaa na kuwazodoa wanaodai Kuna maisha magumu wakati Kuna Utitiri wa magari Namba E Yamejaa Barabarani,Harusi na Bar Zinajaza na Benki Kuna Foleni ya kutoa na kuweka pesa.

Mwigulu anasema Suala la ugumu wa Maisha ni hakuna siku litaisha Duniani ndio maana hata Mataji wakubwa wanajiua.

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1763230060654318057?t=CxsEpOsdZjyLYxbzzsT2gg&s=19

My Take
Naungana na Mwigulu,Maisha magumu ni subjective na sio jukumu la Moja kwa Moja la Serikali.

View: https://twitter.com/mhdhamad/status/1763258665778168077?t=X45ySDz8mj4S_H21nOcuPQ&s=19

kwa hiyo wale watu kama omba omba waliojaa mitaani, wanaohatarisha maisha yao kila siku kupanda boda boda kama mshikaki, wanaopanda dala dala wakinuka vikwapa kwa kushindwa kukoga, wanaotembea na kanda mbili hadi maofisini pamoja na wanaotembea miguu chini ni mifano tu ya watu wenye kipato kizuri ila tu wameamua kuishi namna ile, right mheshimiwa?
 
Kwa mawaziri wa namna hii, mawaziri wenye attitude na mentality kama ya huyu, Tanzania daima tutabaki katika hali ngumu kimaisha.
 
Maskini Kuna watu shingo zao zimebeba mizigo isokua na maana kwa taifa.

Hivi hajajua kama Kuna magari namba E lakini ni skrepa?
Eti dokta, duh hatari balaa msiba kuliko misiba iliyokwisha tokea
 
Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amewashangaa na kuwazodoa wanaodai Kuna maisha magumu wakati Kuna Utitiri wa magari Namba E Yamejaa Barabarani,Harusi na Bar Zinajaza na Benki Kuna Foleni ya kutoa na kuweka pesa.

Mwigulu anasema Suala la ugumu wa Maisha ni hakuna siku litaisha Duniani ndio maana hata Mataji wakubwa wanajiua.

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1763230060654318057?t=CxsEpOsdZjyLYxbzzsT2gg&s=19

My Take
Naungana na Mwigulu,Maisha magumu ni subjective na sio jukumu la Moja kwa Moja la Serikali.

View: https://twitter.com/mhdhamad/status/1763258665778168077?t=X45ySDz8mj4S_H21nOcuPQ&s=19

Aende Likuyu,Miangalua, Usanda, Namabengo,Amani makolo, Kazuramimba,Ibologelo, halafu atuambie kuna namba E ngapi,harusi,bar,benki n.k.
 
Kuna watu hawakutakiwa hata kuwa viranja,
Hiki nini sasa anaongea huyu mnyaturu.
 
Kitambo kidogo mzee wangu alinifunza jambo na linanisaidia mpaka kesho alinambia ukiwa unajenga usiondoe ulazima wa watoto kula nyama my point izi hata maisha yawe magumu kwa kiwango gani kuna mambo hutokoma kuyaona
 
Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amewashangaa na kuwazodoa wanaodai Kuna maisha magumu wakati Kuna Utitiri wa magari Namba E Yamejaa Barabarani,Harusi na Bar Zinajaza na Benki Kuna Foleni ya kutoa na kuweka pesa.

Mwigulu anasema Suala la ugumu wa Maisha ni hakuna siku litaisha Duniani ndio maana hata Mataji wakubwa wanajiua.

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1763230060654318057?t=CxsEpOsdZjyLYxbzzsT2gg&s=19

My Take
Naungana na Mwigulu,Maisha magumu ni subjective na sio jukumu la Moja kwa Moja la Serikali.

View: https://twitter.com/mhdhamad/status/1763258665778168077?t=X45ySDz8mj4S_H21nOcuPQ&s=19

Kwahiyo ndago na mtekente kule punda nao Wana namba E
 
Huo ni mfano tuu? Kwani majumba huyaoni mtaani? Biashara Mpya huzioni?
Watakuchosha nyumbu hawa wakikaririshwa na TL huwavandui. Waambie wazurure vijijini na kwenye "senta" za vijijini wataona mabadiliko makubwa sana. Ugumu wa maisha ni wewe mwenyewe. Umeshindwa kuendesha Boda, Guta, kufuga kuku, kulima bustani, kuwa machinga, huwezi hata kufanya udalali wa malikauli kariakoo. Pumbafff hawa kutwa nzima kusakua smartphone za kuachiwa na shemeji zao kuona DJ au TL kasema nini??.
Hivi hawaoni hata madada zetu siku wanatoka saa 4 asubuhi Club manake usiku kucha watu wanatafuna noti. Nyumbu hawaoni wananchi wanafurika Bar zote na guest houses zinajaa saa saba mchana tu. Ni vipofu hawaoni wakulima, wavuvi na wafugaji wanainjoi masoko ya mazao yao???. Kaka ChoiceVariable achana nao nyumbu watakuzeesha manake kwao kuambiwa ukweli huwa ni matusi. Sijui upinzani ndio kupinga kila kitu??. Nyambaff bure kabisa
 
Back
Top Bottom