Mwigulu Nchemba kuunguruma ITV kesho (Agosti 21)

Uongozi hauwezi kubadili utendaji,bali pale unapopata uongozi ndipo watu wanapata fursa ya kuweza kutambua utendaji,kwanza kabisa nikiri kwamba sijawahi kuona waziri wa fedha mpumbavu kkama mwigulu,mwigulu ni waziri asiyekuwa na hoja za kuliendeleza taifa,anayepigana kuwakomalia wananchi wa chini kwenye kodi huku akiwaachia wabunge wa ccm na vibaraka wake wakitafuna pesa zetu kwenye BMK.
 
nengemuelewa kama angeulizwa yeye anataka serikali ngapi?
You are right.

Pia aulizwe ni kwa nini pamoja na yeye mwenyewe kutamka kuwa, shughuli za bunge maalum la katiba zinazoendelea Dodoma hivi sasa ni matumizi mabaya ya pesa ya walipa kodi, ambayo hayajawahi kuonekana hapa nchini,kutokana na idadi ya 2/3 ya idadi ya wabunge kutoka Tanganyika na upande wa Zanzibar, kutowezekana kupatikana, ili kuwezesha kupitisha katiba yao ya Lumumba.

Sasa jambo la kumuuliza Mwigulu ni kuwa iwapo hilo jambo alilikiri hadharani, iweje na yeye anaendelea kuzitafuna hizo laki 3 kwa siku, iwapo kama anajua katiba mpya haitapatikana, kwa maana hiyio na yeye amekuwa sehemu ya fedheha hiyo kubwa, iliyowakumba wabunge wa magamba?!
 
Una Iq ndogo mkuu kakojoe ulale.... wewe una ugonvi na jina CCM wewe unaamini leo CCM IKIITWA CHADEMA NA CHADEMA IKAITWA CCM Basi chuki yako inahama.... CCM IPO SAANA UTAKUFA UKIIACHA MADARAKANI

Acha kutukana mtu ambaye humfahamu, kuna siku utakuja kumtukana baba yako. Jibu hoja! ccm ni chama kinachopinga maendeleo (reactionary party at its most) na Mwigulu Nchemba kutokana na vitendo vyake amethibitika kuwa wakala wa kupinga maendeleo. Chadema inaingia wapi hapa? Nani kakuambia kuwa mimi ni mwanachama wa Chadema? Nani amekuambia kuwa ninataka ccm ife? Nimekuwepo tangu TANU na sasa ccm na ninaweza kusema kwa iq yangu hii ndogo kuwa ccm kimekuwa chama cha kupinga maendeleo ya wananchi.
 
Kweli huyu jamaa moto wa mbinguni na ccm na hayo mauwaji watateketea sana.kwa nini uuwe mtanzania mwenzako?kweli wewe SAVIMBI WEWE NI NOMA.
 
Vijana makini hatuiishii kuangalia majina tu bali ufanisi na utendaji wa mhusika na hili liko wazi na linaonekana kutoka kwa mh Mwigulu
 
Kama ada kama kawaida, ndugu yetu kiongozi wetu, rafiki yetu, Kijana mzalendo wa kweli,mtoto wa mfugaji Mh.Mwigulu Nchemba Kesho asubuhi atazungumzia maswala Nyeti ya kitaifa katika kipindi cha kumepambazuka ITV na atagusia masuala nyeti ambayo yanatoa picha na faraja sana juu ya watanzania wanyonge kwani sasa tunaanza kuamini kabisa kuwa mtoto wa mfugaji anaenda kututoa hapa tulipo kwenda sehemu nzuri zaidi kiuchumi unaomgusa moja kwa moja mwananchi wa hali ya chini
Atazungumziaa masuala katika vipengele vifuatavyo
1.Oparesheni Kamata wakwepa kodi
2.Mafanikio yake na Hatua zilizochukuliwa kwa waliokamatwa
3.Atazungumzia Hatua za Awali za Kubana Matumuzi serikalini namna Utekelezaji wake ulivyoanza

USIKOSE I.T.V SAA 12 NA 30 ASUBUHI KESHO TAREHE 21/08/2014

.Kijana mzarendo na mjamaa...asiefungamana na sera za kinyonyaji za kibepari

.Mwanamapinduzi ya fikra vijana na mabadiliko mwenye sauti ya mamlaka
attachment.php

.Harakati zake zinaendelea kama che guavara yupo Tanzania kiboko ya Upinzani..
ImageUploadedByJamiiForums1408622737.053655.jpg
 
View attachment 179143
 
Naibu waziri anafanya kwa Waziri...Sasa ni mafanikio yake au ya wizara ...na yakishapatikana sifa zinaanzia kwenda kwa waziri
 
salama ndg.kimeta wa mpui!!!?
 
Angelizuia Bunge la Katiba kwanza Ambalo limetumia Mabilillioni ya fedha kwa upuuzi mtupu
 
Wapuuzi ni wale wanaong'ang'ania sura za kugawana madaraka tu na zile zinazowagusa wananchi moja kwa moja wamezikimbia
Shame on them,shame on Ukawa
 
Naibu waziri anafanya kwa Waziri...Sasa ni mafanikio yake au ya wizara ...na yakishapatikana sifa zinaanzia kwenda kwa waziri

Kwani juzi alivyomkamata yule mkwepa kodi alikuwa na Waziri ? Hizo ni jitihada binafsi za naibu Waziri ambapo tija yake inaonekana kwa wananchi wa kawaida
 
Hahahahahaa! shetani kawa malaika ghafla. alikuwa muuaji sana anageuka kuwa mkombozi wao! siasa kweli inaniacha hoi.
 
Kwani juzi alivyomkamata yule mkwepa kodi alikuwa na Waziri ? Hizo ni jitihada binafsi za naibu Waziri ambapo tija yake inaonekana kwa wananchi wa kawaida

Hiyo yote ni kwa sababu Siku hizi hakuna utaratibu wa kazi .........ukiwa Naibu hutakiwa kutenda kwa lengo la KUONEKANA bora kuliko waziri wako.......Naibu waziri anafanya kazi kwa maelekezo ya Waziri....na sifa au akiaharibu basi waziri anabeba lawama....
Ukijaribu kuyaruka mamlaka ya bosi wako Hiyo inaitwa in subordination ...
Ni utaratibu wa kazi Naibu waziri ...yuko busy kufanya PR stunts ...ili tu aonekane bora kuliko waziri wake ...,hata Kama kazi anayoifanya ni nzuri ...basi anatakiwa ...yeye awe wa kwanza Kumpa credits hata Za kinafiki bosi wake ...
Waziri Nyalandu naye alikuwa na tatizo Hilo ...Daima kila waziri aliyepangiwa nae Kama Naibu alilalamika Tabia yake Hiyo ......waziri a nashangaa tu Mara Naibu Huyoo yuko clouds ...au TBC au ITV ...hata anachoenda kuongea haja mtaarifu waziri wake .......,Mara huyooo anafukuzana na wachina kariakoo ...Kesho yake anaitwa foreign affairs ...anaambiwa kuwa hawa wenzetu nao wanaweza kufanya reciprocal na kuwafukuza Watanzania Huko ...utaratibu HAUKO Hivyo
Mara waziri wake yuko kwenye operesheni tikomeza yeye yupo busy Anaihujumu ili bosi wake afukuzwe kazi....bosi anafukuzwa kazi basi yeye yuko busy na media team kum impress President ili ahalalishwe kuwa waziri Kamili ..

Ndio maana kwenye mfumo wa utawala ukiwa Naibu basi you work behind the scene.....hata Makamu wa Rais popote Huwa anakuwa low profile ...Pamoja na kuwa kwenye Vikao Vya ndani anaweza kuwa mkali Sanaa tu ...lakini ni muhimu hadharani amwachie Rais aonekane anatenda .....same apply to nafasi ya unaibu waziri
 
Tunahitaji viongozi wenye maono na kujitolea na ili kufanikiwa unahitaji kufanya kitu cha zaidi kama mtoto wa mfugaji anavyofanya sio kukaa kwa ofisi tu
 
Back
Top Bottom