acer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 1,595
- 142
Hahahahahaa! shetani kawa malaika ghafla. alikuwa muuaji sana anageuka kuwa mkombozi wao! siasa kweli inaniacha hoi.
Inaonekana wewe haukuangalia star tv juzi otherwise ungepata kuwajua wauwaji
Hahahahahaa! shetani kawa malaika ghafla. alikuwa muuaji sana anageuka kuwa mkombozi wao! siasa kweli inaniacha hoi.
Hahahahahaa! shetani kawa malaika ghafla. alikuwa muuaji sana anageuka kuwa mkombozi wao! siasa kweli inaniacha hoi.
Ni tatizo Sana Kama watu wanajeuza wizara critical ambayo always Imekuwa ikiongozwa na watu wasiokuwa na presidential ambition ....kuwa jukwaani la kufanyia Siasa .......kila kazi hata ambayo ni Moja ya majukumu ...yake hafanyi hadi angoje kamera zije...MAWAZIRI wengi waliopitia hazina wote unawaona ni serious autocrats ( hata Kikwete alipokuwaga pale alikuwa hajaanza kujipitisha pitisha urais ) ......kazi ya hazina ni very serious Kiasi Sioni muda wa watu kufanya media stuffs wanapata wapi..
Yule dada wa watu anaonekana serious lakini wasaidizi wake wote wana interest tofauti .....mmoja Siasa na majigambo ,...mwingine yeye interest yake ni machangudoa ....kazi Kweli !!!
Huyu mwenye interest ya Siasa basi Angeomua kufanya kazi bila matangazo ...,angemsaidia Sana waziri wake .
Kama ada kama kawaida, ndugu yetu kiongozi wetu, rafiki yetu, Kijana mzalendo wa kweli,mtoto wa mfugaji Mh.Mwigulu Nchemba Kesho asubuhi atazungumzia maswala Nyeti ya kitaifa katika kipindi cha kumepambazuka ITV na atagusia masuala nyeti ambayo yanatoa picha na faraja sana juu ya watanzania wanyonge kwani sasa tunaanza kuamini kabisa kuwa mtoto wa mfugaji anaenda kututoa hapa tulipo kwenda sehemu nzuri zaidi kiuchumi unaomgusa moja kwa moja mwananchi wa hali ya chini
Atazungumziaa masuala katika vipengele vifuatavyo
1.Oparesheni Kamata wakwepa kodi
2.Mafanikio yake na Hatua zilizochukuliwa kwa waliokamatwa
3.Atazungumzia Hatua za Awali za Kubana Matumuzi serikalini namna Utekelezaji wake ulivyoanza
USIKOSE I.T.V SAA 12 NA 30 ASUBUHI KESHO TAREHE 21/08/2014
.Kijana mzarendo na mjamaa...asiefungamana na sera za kinyonyaji za kibepari
.Mwanamapinduzi ya fikra vijana na mabadiliko mwenye sauti ya mamlaka
![]()
.Harakati zake zinaendelea kama che guavara yupo Tanzania kiboko ya Upinzani..
Mwigulu ni ngoma ya mchiriku raha tupu, he must be a president near future
Hivi ni kwanini mnapenda kutumia ids za kutisha..? Ati shetani mweusi.. chuki.. msalani.. boko haram n.k..!
Ndiyo yeye huyohuyo kamanda wa intarahamwe rafiki ya ibilisi. Anaojifananisha nao walipigania nchi toka mikononi mwa wakoloni, yeye anapigana na wananchi wake-hovyo!