Mwigulu Nchemba "Kumlima" Barua Kinana...?

Mwita Maranya umeula wa Chuya,CMM ni mlima na CDM nikichuguu,niambie ni Mbunge gani CCM ambaye amewai kumtuhumu Naibu Katibu mkuu CCM,anajitia upofu bila sababu,punguzeni ubinafsi,mnamambo mengi ya kujifunza CCM nyie ni Chekechea tu,huu Uzi ungeleta na shabiki wa CCM kwenda CDM ungeona anatukwana,kama CDM tumeishauri ishu ya Mapato na Matumizi,ukomo,uchaguzi,eti ooh CCM mnapenda Zito!
Mwambie Lema awe na Adabu kwa Kiongozi wake,Zito sio mbunge tu kama Lema,bali ni Kiongozi wetu,plz plz naomba unitajie mbunge wa CCM anaemkashifu naibu katibu mkuu
"Tusiangalie tulipoangukia tuangalie tulipojikwaa#somo kwenu
#Ex Chadema simper aliquid novi#

Hivi we bogus umemuelewa kweli mleta mada, bila shule huwezi elewa chochote na ndio maana utafiti umeonesha huyu ambaye sikumpigia kura anaongoza kupendwa na WASIO NA ELIMU KWA % KUBWA.

Your knowledge and your understanding should go beyond the course outline given by your Lecturers.
 
Katiba ya ccdm haina discipline , hivyo viongozi wake,wanachama na mashabiki hawawezi kuwa na discipline, Hapa tatizo ni displine kwani kila tendo la binadamu lazima discipline itangulia. Kitu ambacho hakipo cdm kama mwongozo
 
Sioni tatizo kwa Mh. Zitto kumwandikia barua Mh. Slaa kutaka ufafanuzi kuhusu taarifa inayohusishwa na chama chake ikimshambulia yeye (Zitto). Barua ni mawasiliano rasmi ya kiofisi, ni bahati baya tu na vyombo vya habari vilitaka kujua hatua alizochukua Mh. Zitto ndio maana hiyo habari ikawa kubwa. Kingine ni lazima tujue tofauti ya CCM na CDM, CCM ina dola kwa hiyo kukitokea mtafaruku ndani ya CCM unapoitwa mathalani kwa Mwenyekiti ujue pale unakwenda kukutana na sio tu Mwenyekiti wa Chama bali pia Rais wa Jamhuri, ni tafauti leo mfano Mh. Mbowe ni kweli ni mwenyekiti wa chama lakini ile nguvu ya kidola ambayo JK anayo kama mwenyekiti yeye anakuwa hana!
 
Hakuna jambo baya alilofanya naibu zito.kuomba ufafanuzi njambo la muhimu.

amependa kujua kwa maandishi nikweli tuhuma zile zimetolewa na cdm?
 
Salam ndugu wanaJF.

Miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia vijana wengi wakishawishika kujiunga katika shughuli za kisiasa hapa nchini. Mwamko huo wa vijana kujiunga katika shughuli za kisiasa umepelekea vyama vya kisiasa kutafuta namna bora ya kuwavutia na kuwashawishi vijana kujiunga na vyama vyao.

Kutokana na vuguvugu kubwa la vijana kujihusisha na masuala ya siasa, vyama vya siasa hapa nchini hasa vyenye ushindani mkubwa hapa nchini CHADEMA, CUF na CCM vimejikuta vikilazimika kuwateua vijana mahiri katika vyama vyao katika nafasi za juu za uongozi wa kitaifa.

Chadema walimteua Zitto Kabwe kuwa naibu katibu mkuu bara, CUF kwa upande wao wamemteua Julis Mtatiro kuwa naibu katibu mkuu bara huku CCM nao wakimteua Mwigulu Nchemba kuwa naibu katibu mkuu bara. Wote hawa ni vijana walioaminiwa na kuteuliwa na vyama vyao ili watumie ushawishi wao na umahiri wao katika kuwavuta vijana wengi zaidi kujiunga na vyama vyao. Kitu kimoja cha kufurahisha ni kwamba vijana hawa ambao wote ni mahiri sana katika vyama vyao, wote wameteuliwa kushika wadhifa unaofanana/unaolingana-Naibu katibu mkuu!!!

Vyama vyetu vya siasa vimekuwa vikipitia katika vipindi tofauti tofauti vya mlipuko na hamasa za kisiasa, na hasa vinapokuwa vikubwa na kujikusanyia wafuasi wa kila aina; vijana, wazee, akina mama, watu wa makamo, wataalamu waliobobea katika Nyanja mbalimbali na watu wengine wa kawaida. Katika kukua huku kwa vyama vya siasa changamoto mbalimbali zimekuwa zikijitokeza siku moja hadi nyingine. Wajibu wanaokuwa nao viongozi wa chama husika ni kuwa na uwezo wa kupambana, kuhimili na kukabiliana na changamoto zozote zinazojitokeza kwa kushirikiana (collective responsibility).

Ili kushadidia hoja yangu naomba nimtumie naibu katibu mkuu wa ccm ndugu Mwigulu Nchemba. Pamoja na kwamba sina mapenzi yoyote na ccm na sijawahi kuwaunga mkono kwakuwa sasa ni zaidi ya miaka 50 wanatuongoza tanguntupate uhuru lakini tunachoshuhudia ni wananchi kuendelea kuwa masikini lakini pia hali ya usalama wa wananchi na mali zao umeendelea kuwa shakani kwani tumeshuhudia mauaji ya hapa na pale kwa wananchi wasiokuwa na hatia.

Mauaji mengine yamekuwa yakifanywa na vyombo vya dola lakini pia mauaji mengine yamekuwa yakifanywa na majambazi kama ilivyotokea kwa Dr. Mvungi hivi karibuni pamoja na Prof. Mwaikusa na watanzania wengine wengi ambao wameuwawa kikatili kwasababu ya ulegelege wa serikali ya ccm kushindwa kuwahakikishia wananchi wake ulinzi wa maisha yao na mali zao.

Pamoja na kushuhudia ccm ikipita katika misukosuko mingi yenye migawanyiko mingi ndani ya chama lakini viongozi wake wameweza kumudu kuwa na “mshikamano” wa kushangaza, hata kama unaweza kuuita ni mshikamano wa kinafiki lakini umekuwa ukiwasaidia kukivusha chama chao katika changamoto mbalimbali.

Mara zote tunapokaribia uchaguzi mkuu wa nchi au uchaguzi ndani ya ccm tumekuwa tukishuhudia makundi mengi yakijitokeza kushindana na hata kufikia mahali pa kutishia uhai wa chama chao, hadi baadhi ya watu kudhani kwamba ccm inameguka kama si kupasuka. Pamoja na kuwepo na makundi ya uchaguzi kila mara lakini kama nilivyotaja awali ni kwamba makundi hayo yamekuwa yakiendesha siasa za hatari lakini bila kukiumiza chama chao.

Mathalani siku za hivi karibuni tumeshuhudia makundi mbalimbali yakijipanga kwa ajili ya uraisi wa JMT mwaka 2015. Tumeshuhudia kundi la Edward Lowasa wakiwa “busy” kumuuza mgombea wao, na hivi karibuni tunasubiri kuona watu wakienda kula nyama choma Monduli. Kwa upande mwingine kuna kundi la Bernard Membe, na upande mwingine tena kuna kundi la Samwel Sitta. Pia kumekuwa na “miungano”ya makundi mbalimbali ambayo nimekuwa nikiyasikia yakitajwa yakijipanga kuhakikisha kwamba wagombea wao ndio wanaopata fursa ya kupitishwa kupeperusha bendera ya ccm come 2015.

Pamoja na kuwepo minyukano ya mara kwa mara ndani ya ccm lakini hatujawahi kushuhudia viongozi wa juu wa ccm; Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu, Manaibu Makatibu Wakuu na Katibu Mwenezi , mmoja wao au wawili miongoni mwao wakifanya kazi za “kiofisi” za chama chao kupitia vyombo vya habari.

Kwa mfano Mwigulu Nchemba ambaye vijana wengi sana wa ccm wanamuamini na kumtumainia sana kwamba ndiye anayeweza kuwanusuru na kipigo cha upinzani katika uchaguzi mkuu ujao wa 2015 amekuwa akitajwa kumuunga mkono Edward Lowasa. Na kwakuwa Mwigulu anamuunga mkono Lowasa basi ni dhahiri kuwa asingependa kuona mgombea wake akiendelea kusakamwa na kuchafuliwa na wanaccm wenzake wanaopingana nae ama kushindana nae.

Katika mazingira hayo ni dhahiri kuwa Mwigulu amekuwa akiwasiliana na bosi wake-Katibu mkuu Kinana katika kuwashauri au kutafuta maelezo au ufafanuzi wa mambo mbalimbali yanayokikumba chama chao. Katika kuwasiliana huko ni wazi kuwa amekuwa akiwasiliana kwa ukaribu zaidi na katibu mkuu wake Kinana na akimsaidia kwa ukaribu katika kutekeleza majukumu yake kwakuwa yeye (Mwigulu) ndiye msaidizi wa karibu zaidi kwa Kinana. Katika kuwasilaiana na Kinana bila shaka amekuwa akitumia njia mbalimbali za mawasiliano kama vile kuzungumza nae ana kwa ana, ama akizungumza nae kwa simu, ama anawasiliana nae kwa barua/barua pepe au fax na njia nyingine za mawasiliano zinazokubalika kiofisi.

Hata mara moja sijawahi kumsikia ama kumuona Mwigulu Nchemba akitoka hadharani kwenye vyombo vya habari na kuuambia umma wa watanzania aidha kupitia press release, au kupitia mitandao ya kijamii, au kupitia magazeti, au television na radaio kwamba amemuandikia rasmi katibu mkuu wake Kinana kumuomba ufafanuzi au maelekezo ya jambo Fulani linalomhusu kiongozi mmoja wa chama chao.

Pamoja na kushuhudia mashambulizi mengi dhidi ya Lowasa kutoka kwa wanaccm wenzake, tena wakati mwingine Lowasa ameshambuliwa hadharani na viongozi wakubwa wa ccm lakini sijawahi kumuona Mwigulu akitoka kwenye vyombo vya habari na kututangazia kwamba amemuandikia barua Katibu mkuu wake Kinana atoe taarifa ya kukanusha mashambulizi yaliyofanywa dhidi ya Lowasa ama akiri kwamba kiongozi huyo (aliyemshambulia Lowasa) ametoa matamshi hayo kwa niaba ya chama hivyo wanachama wa ccm na wananchi kwa ujumla watambue kuwa huo ndio msimamo wa ccm juu ya kada wake Lowasa.

Nionachoamini ni kwamba Mwigulu amekuwa akiwasiliana kwa karibu sana na katibu mkuu wake Kinana katika kumsaidia kutekeleza majukumu yake, ni dhahiri kuwa Mwigulu amekuwa akiitumia ofisi yake ya naibu katibu mkuu pale Lumumba na Dodoma katika kutekeleza majukumu yake ya unaibu katibu mkuu wa ccm. Ni dhahiri kuwa Mwigulu amekuwa akimuandikia barua rasmi za kiofisi kumhoji juu ya mambo Fulani yenye mwelekeo wa kukimuiza chama chao ama viongozi wao ama wanachama wao, lakini kama nilivyogusia tangu hapo awali sijawahi kumuona akivujisha barua zake hizo katika vyombo vya habari kwa sababu iwayo yoyote ile.

Kutokana na mazingira hayo na kutambua kwamba Mwigulu amekwisha kuchagua upande anaouunga mkono (Lowasa), lakini pia naye amekuwa akitajwa kwamba anafikiria kujitosa katika kinyang’anyiro cha uraisi (huenda ni alternative choice incase bid ya Lowasa imekwama), bila shaka amekuwa akipambana ndani ya ccm kuhakikisha kuwa jina lake na la mgombea wake hayachafuliwi bila sababu za msingi.
Kwa mantiki hiyo basi nimekuwa nikitamani sana kumuona ama kumsikia ama kumsoma Mwigulu Nchemba akitoa press release, au akiandika katika mitandao ya kijamii kwamba amemuandikia rasmi barua katibu mkuu wake Kinana kutaka maelezo ama ufafanuzi wa hoja kwamba viongozi na wanachama wa ccm wanaomshambulia “mgombea wake” hadharani kwa kumhusisha na kashfa mbalimbali za ufisadi na zinazoonyesha dhahiri zinamchafua kiongozi huyo.

Kwakuwa Mwigulu anaungwa mkono na vijana wengi ndani ya ccm, na kwakuwa vijana wengi wa ccm wanamuunga mkono Lowasa katika mbio zake za kuwania uraisi, na kwakuwa kuna baadhi ya viongozi wa ccm tena wengine wa kitaifa wamekuwa wakiendelea kumchafua Lowasa, na kutokana na kuendelea kuongezeka kwa upinzani ndani ya ccm dhidi ya Lowasa ni dhahiri kuwa muda si mrefu tutamshuhudia Mwigulu Nchemba akitujuza ni kwa kiwango gani amepambana kuhakikisha kuwa jina la mgombea wake halichafuliwi na atatufahamisha ni barua ngapi amemuandikia Kinana akimtaka atoe tamko la kukubali ama kukanusha taarifa zote zinazoandikwa ama kuchapishwa zikimshambulia Lowasa. Ninausubiri wakati huo kwa hamu sana kwakuwa muda si mrefu tutayashuhudia “maajabu” hayo yakitokea.

Nawasilisha.
Nakuunga mkono mkuu kwa asilimia 100% . Siku hizi ni mara chache sana huwa tunapata mabandiko yenye uchambuzi makini na tafsida ya hali ya juu kama haya.
 
Mkuu TECH WIZ huo ni mtazamo wako ambao sina tatizo nao kwakuwa ndivyo ulivyoliona.

Kulinganisha sakata la Lema na hili nililoliandika unakuwa unakosea sana. Kwanza Lema sio kiongozi wa bunge kwakuwa viongozi wa bunge ni spika na naibu wake. Pili mawasiliano kati ya mbunge na kiongozi wake wa bunge yanafanyika kwa barua kwakuwa mbunge anakuwa sio sehemu ya kutekeleza majukumu husika.

Sasa nikirudi katika hoja yako ya kuwa Zitto alikuwa ni muathirika wa moja kwa moja, nikubaliane na wewe kwamba ni kweli. Lakini hapo hapo nikukumbushe kuwa Zitto ni naibu katibu mkuu wa Chadema, na sio mwanachama wa kawaida kama sisi ambao hatuna ofisi pale makao makuu.

Kumuandikia barua katibu mkuu katika kumtaka ufafanuzi au msimamo wa chama lilikuwa ni jambo jema sana na wala mimi sijalipinga mahali popote. Nilichokuwa nahoji na kuwalinganisha viongozi vijana hawa manaibu katibu mkuu ni ile silka ya kiuongozi miongoni mwao. Kwanini alipomuandikia barua katibu mkuu akaona haitoshi akakimbilia kwenye vyombo vya habari kuutangazia umma kwamba amemuandikia barua rasmi katibu mkuu? Unafikiri Mwigulu au Mtatiro huwa hawawaandikii barua mabosi wao? lakini mbona hata mara moja hatuwaoni wakija public kutueleza kuwa wamewaandikia barua makatibu wakuu wao juu ya jambo Fulani?

Tukiacha hilo la "taarifa ya siri" mnayodai kuwa imeandaliwa na Chadema makao makuu ambapo na zitto naye ni sehemu yake, sasa nikukumbushe kuwa wakati ule wa sakata la "Ugaidi wa Lwakatare" ni naibu katibu mkuu huyo huyo wa Chadema aliyemuandikia barua Katibu mkuu wake akimtaka chama kijitenge na Lwakatare na kutaka Lwakatare atoswe, na kasha barua hiyo kuvujishwa hapa JF kwa lengo lile lile.

Sasa ukishayaangalia matukio hayo mawili ambayo hayamhusu muathirika mmoja, ndipo sasa unaweza kunielewa kitu nilichokuwa najaribu kukiwasilisha ili kwa pamoja tuweze kuona manufaa ama madhara ambayo vyama vyetu vinayapata kwa kuwekeza kwa hawa vijana mahiri katika vyama husika kwa lengo la kujiongezea ufuasi na uungwaji mkono.

Jambo hili tukilitazama katika uwanda mpana wa kichama au kitaifa ndipo unaweza kuiona mantiki ya hoja yangu. Lakini tukijikitab katika personalities tutajikuta tunarudi kule kule tunakojaribu kutoka.
Mwita Maranya, kwanza heshima kwako mkuu!
Binafsi huwa napenda chambuzi zisizo za kishabiki, ijapokuwa huwa ni ngumu sana kuwa non aligned! Hata hivyo kwa suala la Zito yawezekana kukawa na problem Fulani! Maana nakumbuka hata issue ya Lwakatare, barua ya Zitto alomwandikia katibu mkuu ilivujishwa humu! Lakini pia tuhuma Zile ziliandikwa kuwa zimetokea Makao Makuu ya chama, halafu pia issue nyingine ilikuwa inavyoonyesha Zitto hana Imani na katibu mkuu
 
Last edited by a moderator:
Mwita maranya shkamoo bana...khaa umetumia falsafa mujarabu kunena hiki jambo...zitto hana adabu na hajawahi kufunzwa adabu....madhara ya mtoto kukulia kwa wajomba haya
 
Hakuna jambo baya alilofanya naibu zito.kuomba ufafanuzi njambo la muhimu.

amependa kujua kwa maandishi nikweli tuhuma zile zimetolewa na cdm?

Wakunyumba SONGEA ONE nina shaka kwamba hujanielewa kabisa nilichoandika. Si vibaya ukarudia kunisoma tena bila shaka utanielewa tena vizuri sana.
 
Last edited by a moderator:
Salam ndugu wanaJF.

Miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia vijana wengi wakishawishika kujiunga katika shughuli za kisiasa hapa nchini. Mwamko huo wa vijana kujiunga katika shughuli za kisiasa umepelekea vyama vya kisiasa kutafuta namna bora ya kuwavutia na kuwashawishi vijana kujiunga na vyama vyao.

Kutokana na vuguvugu kubwa la vijana kujihusisha na masuala ya siasa, vyama vya siasa hapa nchini hasa vyenye ushindani mkubwa hapa nchini CHADEMA, CUF na CCM vimejikuta vikilazimika kuwateua vijana mahiri katika vyama vyao katika nafasi za juu za uongozi wa kitaifa.

Chadema walimteua Zitto Kabwe kuwa naibu katibu mkuu bara, CUF kwa upande wao wamemteua Julis Mtatiro kuwa naibu katibu mkuu bara huku CCM nao wakimteua Mwigulu Nchemba kuwa naibu katibu mkuu bara. Wote hawa ni vijana walioaminiwa na kuteuliwa na vyama vyao ili watumie ushawishi wao na umahiri wao katika kuwavuta vijana wengi zaidi kujiunga na vyama vyao. Kitu kimoja cha kufurahisha ni kwamba vijana hawa ambao wote ni mahiri sana katika vyama vyao, wote wameteuliwa kushika wadhifa unaofanana/unaolingana-Naibu katibu mkuu!!!

Vyama vyetu vya siasa vimekuwa vikipitia katika vipindi tofauti tofauti vya mlipuko na hamasa za kisiasa, na hasa vinapokuwa vikubwa na kujikusanyia wafuasi wa kila aina; vijana, wazee, akina mama, watu wa makamo, wataalamu waliobobea katika Nyanja mbalimbali na watu wengine wa kawaida. Katika kukua huku kwa vyama vya siasa changamoto mbalimbali zimekuwa zikijitokeza siku moja hadi nyingine. Wajibu wanaokuwa nao viongozi wa chama husika ni kuwa na uwezo wa kupambana, kuhimili na kukabiliana na changamoto zozote zinazojitokeza kwa kushirikiana (collective responsibility).

Ili kushadidia hoja yangu naomba nimtumie naibu katibu mkuu wa ccm ndugu Mwigulu Nchemba. Pamoja na kwamba sina mapenzi yoyote na ccm na sijawahi kuwaunga mkono kwakuwa sasa ni zaidi ya miaka 50 wanatuongoza tanguntupate uhuru lakini tunachoshuhudia ni wananchi kuendelea kuwa masikini lakini pia hali ya usalama wa wananchi na mali zao umeendelea kuwa shakani kwani tumeshuhudia mauaji ya hapa na pale kwa wananchi wasiokuwa na hatia.

Mauaji mengine yamekuwa yakifanywa na vyombo vya dola lakini pia mauaji mengine yamekuwa yakifanywa na majambazi kama ilivyotokea kwa Dr. Mvungi hivi karibuni pamoja na Prof. Mwaikusa na watanzania wengine wengi ambao wameuwawa kikatili kwasababu ya ulegelege wa serikali ya ccm kushindwa kuwahakikishia wananchi wake ulinzi wa maisha yao na mali zao.

Pamoja na kushuhudia ccm ikipita katika misukosuko mingi yenye migawanyiko mingi ndani ya chama lakini viongozi wake wameweza kumudu kuwa na "mshikamano" wa kushangaza, hata kama unaweza kuuita ni mshikamano wa kinafiki lakini umekuwa ukiwasaidia kukivusha chama chao katika changamoto mbalimbali.

Mara zote tunapokaribia uchaguzi mkuu wa nchi au uchaguzi ndani ya ccm tumekuwa tukishuhudia makundi mengi yakijitokeza kushindana na hata kufikia mahali pa kutishia uhai wa chama chao, hadi baadhi ya watu kudhani kwamba ccm inameguka kama si kupasuka. Pamoja na kuwepo na makundi ya uchaguzi kila mara lakini kama nilivyotaja awali ni kwamba makundi hayo yamekuwa yakiendesha siasa za hatari lakini bila kukiumiza chama chao.

Mathalani siku za hivi karibuni tumeshuhudia makundi mbalimbali yakijipanga kwa ajili ya uraisi wa JMT mwaka 2015. Tumeshuhudia kundi la Edward Lowasa wakiwa "busy" kumuuza mgombea wao, na hivi karibuni tunasubiri kuona watu wakienda kula nyama choma Monduli. Kwa upande mwingine kuna kundi la Bernard Membe, na upande mwingine tena kuna kundi la Samwel Sitta. Pia kumekuwa na "miungano"ya makundi mbalimbali ambayo nimekuwa nikiyasikia yakitajwa yakijipanga kuhakikisha kwamba wagombea wao ndio wanaopata fursa ya kupitishwa kupeperusha bendera ya ccm come 2015.

Pamoja na kuwepo minyukano ya mara kwa mara ndani ya ccm lakini hatujawahi kushuhudia viongozi wa juu wa ccm; Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu, Manaibu Makatibu Wakuu na Katibu Mwenezi , mmoja wao au wawili miongoni mwao wakifanya kazi za "kiofisi" za chama chao kupitia vyombo vya habari.

Kwa mfano Mwigulu Nchemba ambaye vijana wengi sana wa ccm wanamuamini na kumtumainia sana kwamba ndiye anayeweza kuwanusuru na kipigo cha upinzani katika uchaguzi mkuu ujao wa 2015 amekuwa akitajwa kumuunga mkono Edward Lowasa. Na kwakuwa Mwigulu anamuunga mkono Lowasa basi ni dhahiri kuwa asingependa kuona mgombea wake akiendelea kusakamwa na kuchafuliwa na wanaccm wenzake wanaopingana nae ama kushindana nae.

Katika mazingira hayo ni dhahiri kuwa Mwigulu amekuwa akiwasiliana na bosi wake-Katibu mkuu Kinana katika kuwashauri au kutafuta maelezo au ufafanuzi wa mambo mbalimbali yanayokikumba chama chao. Katika kuwasiliana huko ni wazi kuwa amekuwa akiwasiliana kwa ukaribu zaidi na katibu mkuu wake Kinana na akimsaidia kwa ukaribu katika kutekeleza majukumu yake kwakuwa yeye (Mwigulu) ndiye msaidizi wa karibu zaidi kwa Kinana. Katika kuwasilaiana na Kinana bila shaka amekuwa akitumia njia mbalimbali za mawasiliano kama vile kuzungumza nae ana kwa ana, ama akizungumza nae kwa simu, ama anawasiliana nae kwa barua/barua pepe au fax na njia nyingine za mawasiliano zinazokubalika kiofisi.

Hata mara moja sijawahi kumsikia ama kumuona Mwigulu Nchemba akitoka hadharani kwenye vyombo vya habari na kuuambia umma wa watanzania aidha kupitia press release, au kupitia mitandao ya kijamii, au kupitia magazeti, au television na radaio kwamba amemuandikia rasmi katibu mkuu wake Kinana kumuomba ufafanuzi au maelekezo ya jambo Fulani linalomhusu kiongozi mmoja wa chama chao.

Pamoja na kushuhudia mashambulizi mengi dhidi ya Lowasa kutoka kwa wanaccm wenzake, tena wakati mwingine Lowasa ameshambuliwa hadharani na viongozi wakubwa wa ccm lakini sijawahi kumuona Mwigulu akitoka kwenye vyombo vya habari na kututangazia kwamba amemuandikia barua Katibu mkuu wake Kinana atoe taarifa ya kukanusha mashambulizi yaliyofanywa dhidi ya Lowasa ama akiri kwamba kiongozi huyo (aliyemshambulia Lowasa) ametoa matamshi hayo kwa niaba ya chama hivyo wanachama wa ccm na wananchi kwa ujumla watambue kuwa huo ndio msimamo wa ccm juu ya kada wake Lowasa.

Nionachoamini ni kwamba Mwigulu amekuwa akiwasiliana kwa karibu sana na katibu mkuu wake Kinana katika kumsaidia kutekeleza majukumu yake, ni dhahiri kuwa Mwigulu amekuwa akiitumia ofisi yake ya naibu katibu mkuu pale Lumumba na Dodoma katika kutekeleza majukumu yake ya unaibu katibu mkuu wa ccm. Ni dhahiri kuwa Mwigulu amekuwa akimuandikia barua rasmi za kiofisi kumhoji juu ya mambo Fulani yenye mwelekeo wa kukimuiza chama chao ama viongozi wao ama wanachama wao, lakini kama nilivyogusia tangu hapo awali sijawahi kumuona akivujisha barua zake hizo katika vyombo vya habari kwa sababu iwayo yoyote ile.

Kutokana na mazingira hayo na kutambua kwamba Mwigulu amekwisha kuchagua upande anaouunga mkono (Lowasa), lakini pia naye amekuwa akitajwa kwamba anafikiria kujitosa katika kinyang'anyiro cha uraisi (huenda ni alternative choice incase bid ya Lowasa imekwama), bila shaka amekuwa akipambana ndani ya ccm kuhakikisha kuwa jina lake na la mgombea wake hayachafuliwi bila sababu za msingi.
Kwa mantiki hiyo basi nimekuwa nikitamani sana kumuona ama kumsikia ama kumsoma Mwigulu Nchemba akitoa press release, au akiandika katika mitandao ya kijamii kwamba amemuandikia rasmi barua katibu mkuu wake Kinana kutaka maelezo ama ufafanuzi wa hoja kwamba viongozi na wanachama wa ccm wanaomshambulia "mgombea wake" hadharani kwa kumhusisha na kashfa mbalimbali za ufisadi na zinazoonyesha dhahiri zinamchafua kiongozi huyo.

Kwakuwa Mwigulu anaungwa mkono na vijana wengi ndani ya ccm, na kwakuwa vijana wengi wa ccm wanamuunga mkono Lowasa katika mbio zake za kuwania uraisi, na kwakuwa kuna baadhi ya viongozi wa ccm tena wengine wa kitaifa wamekuwa wakiendelea kumchafua Lowasa, na kutokana na kuendelea kuongezeka kwa upinzani ndani ya ccm dhidi ya Lowasa ni dhahiri kuwa muda si mrefu tutamshuhudia Mwigulu Nchemba akitujuza ni kwa kiwango gani amepambana kuhakikisha kuwa jina la mgombea wake halichafuliwi na atatufahamisha ni barua ngapi amemuandikia Kinana akimtaka atoe tamko la kukubali ama kukanusha taarifa zote zinazoandikwa ama kuchapishwa zikimshambulia Lowasa. Ninausubiri wakati huo kwa hamu sana kwakuwa muda si mrefu tutayashuhudia "maajabu" hayo yakitokea.

Nawasilisha.

Mura..Tasha hano nikutebhye!!
Falsafa hii utakuja kuambiwa na Lumumba, LLC kuwa ulikuwa unafananisha tendo la Zitto kumwandikia Dr. Slaa au uongozi wa CDM kuhusu tuhuma ya kulambishwa mabulungutu huku Mwigulu akiwa haifahamiki kama huwa anamwandikia Mzee wa NDOVU kuhusu tuhuma dhidi ya mgombea wake (Richmonduli) kama ni matamko ya chama au la...just wait and read.
 
Mkuu huwa naziheshimu sana status zako ila hapa kidogo umeteleza,Nadhani siyo sahihi kumtumia Mwigulu katika kuhalalisha hoja yako ya kumpinga Zitto kwa kitendo chake cha kumwandikia barua Katibu Mkuu kutaka maelezo ya kina juu ya tuhuma anazobebeshwa kwamba anakisaliti Chama ukizingatia kwamba nyaraka hizo zilisemekana kutoka Makao Makuu ya Chama.Kosa lako ni pale unapomlinganisha Mwigulu ambaye siyo muathirika wa moja kwa moja(direct victim) wa character assassination campaign na Zitto ambaye ni direct victim wa hii smear campaign,Nadhani tayari ushaona wapi umeteleza.Zitto ni binadamu,ana hisia na anaumizwa na hizi scandals,Sasa unadhani kama ungekuwa ni wewe Mwita Maranya ungechukua hatua gani?Lema naye pia amechafuliwa na hizi hizi smear campaign ambazo tumekuwa tukizipiga vita siku zote na yeye amekimbilia Bungeni,amemwandikia barua Spika kutaka msaada wa kisheria juu ya kuchafuliwa kwake,Je ina maana na yeye amekosea kwa kumlima barua Spika wa Bunge?I think your whole argument is not powerful in a way.
TECH WIZ kuna kitu kinaitwa Extrasensory perception (ESP)...ama unayo au huna. Yawezekana wewe ni the Tech Wiz kweli lakini sidhani kama umeweza kufanikiwa kusoma between the lines. Trouble is, if you couldnt get the message the first time, kurudia kusoma hakutakusaidia.
 
Salam ndugu wanaJF.

Miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia vijana wengi wakishawishika kujiunga katika shughuli za kisiasa hapa nchini. Mwamko huo wa vijana kujiunga katika shughuli za kisiasa umepelekea vyama vya kisiasa kutafuta namna bora ya kuwavutia na kuwashawishi vijana kujiunga na vyama vyao.

Kutokana na vuguvugu kubwa la vijana kujihusisha na masuala ya siasa, vyama vya siasa hapa nchini hasa vyenye ushindani mkubwa hapa nchini CHADEMA, CUF na CCM vimejikuta vikilazimika kuwateua vijana mahiri katika vyama vyao katika nafasi za juu za uongozi wa kitaifa.

Chadema walimteua Zitto Kabwe kuwa naibu katibu mkuu bara, CUF kwa upande wao wamemteua Julis Mtatiro kuwa naibu katibu mkuu bara huku CCM nao wakimteua Mwigulu Nchemba kuwa naibu katibu mkuu bara. Wote hawa ni vijana walioaminiwa na kuteuliwa na vyama vyao ili watumie ushawishi wao na umahiri wao katika kuwavuta vijana wengi zaidi kujiunga na vyama vyao. Kitu kimoja cha kufurahisha ni kwamba vijana hawa ambao wote ni mahiri sana katika vyama vyao, wote wameteuliwa kushika wadhifa unaofanana/unaolingana-Naibu katibu mkuu!!!

Vyama vyetu vya siasa vimekuwa vikipitia katika vipindi tofauti tofauti vya mlipuko na hamasa za kisiasa, na hasa vinapokuwa vikubwa na kujikusanyia wafuasi wa kila aina; vijana, wazee, akina mama, watu wa makamo, wataalamu waliobobea katika Nyanja mbalimbali na watu wengine wa kawaida. Katika kukua huku kwa vyama vya siasa changamoto mbalimbali zimekuwa zikijitokeza siku moja hadi nyingine. Wajibu wanaokuwa nao viongozi wa chama husika ni kuwa na uwezo wa kupambana, kuhimili na kukabiliana na changamoto zozote zinazojitokeza kwa kushirikiana (collective responsibility).

Ili kushadidia hoja yangu naomba nimtumie naibu katibu mkuu wa ccm ndugu Mwigulu Nchemba. Pamoja na kwamba sina mapenzi yoyote na ccm na sijawahi kuwaunga mkono kwakuwa sasa ni zaidi ya miaka 50 wanatuongoza tanguntupate uhuru lakini tunachoshuhudia ni wananchi kuendelea kuwa masikini lakini pia hali ya usalama wa wananchi na mali zao umeendelea kuwa shakani kwani tumeshuhudia mauaji ya hapa na pale kwa wananchi wasiokuwa na hatia.

Mauaji mengine yamekuwa yakifanywa na vyombo vya dola lakini pia mauaji mengine yamekuwa yakifanywa na majambazi kama ilivyotokea kwa Dr. Mvungi hivi karibuni pamoja na Prof. Mwaikusa na watanzania wengine wengi ambao wameuwawa kikatili kwasababu ya ulegelege wa serikali ya ccm kushindwa kuwahakikishia wananchi wake ulinzi wa maisha yao na mali zao.

Pamoja na kushuhudia ccm ikipita katika misukosuko mingi yenye migawanyiko mingi ndani ya chama lakini viongozi wake wameweza kumudu kuwa na “mshikamano” wa kushangaza, hata kama unaweza kuuita ni mshikamano wa kinafiki lakini umekuwa ukiwasaidia kukivusha chama chao katika changamoto mbalimbali.

Mara zote tunapokaribia uchaguzi mkuu wa nchi au uchaguzi ndani ya ccm tumekuwa tukishuhudia makundi mengi yakijitokeza kushindana na hata kufikia mahali pa kutishia uhai wa chama chao, hadi baadhi ya watu kudhani kwamba ccm inameguka kama si kupasuka. Pamoja na kuwepo na makundi ya uchaguzi kila mara lakini kama nilivyotaja awali ni kwamba makundi hayo yamekuwa yakiendesha siasa za hatari lakini bila kukiumiza chama chao.

Mathalani siku za hivi karibuni tumeshuhudia makundi mbalimbali yakijipanga kwa ajili ya uraisi wa JMT mwaka 2015. Tumeshuhudia kundi la Edward Lowasa wakiwa “busy” kumuuza mgombea wao, na hivi karibuni tunasubiri kuona watu wakienda kula nyama choma Monduli. Kwa upande mwingine kuna kundi la Bernard Membe, na upande mwingine tena kuna kundi la Samwel Sitta. Pia kumekuwa na “miungano”ya makundi mbalimbali ambayo nimekuwa nikiyasikia yakitajwa yakijipanga kuhakikisha kwamba wagombea wao ndio wanaopata fursa ya kupitishwa kupeperusha bendera ya ccm come 2015.

Pamoja na kuwepo minyukano ya mara kwa mara ndani ya ccm lakini hatujawahi kushuhudia viongozi wa juu wa ccm; Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu, Manaibu Makatibu Wakuu na Katibu Mwenezi , mmoja wao au wawili miongoni mwao wakifanya kazi za “kiofisi” za chama chao kupitia vyombo vya habari.

Kwa mfano Mwigulu Nchemba ambaye vijana wengi sana wa ccm wanamuamini na kumtumainia sana kwamba ndiye anayeweza kuwanusuru na kipigo cha upinzani katika uchaguzi mkuu ujao wa 2015 amekuwa akitajwa kumuunga mkono Edward Lowasa. Na kwakuwa Mwigulu anamuunga mkono Lowasa basi ni dhahiri kuwa asingependa kuona mgombea wake akiendelea kusakamwa na kuchafuliwa na wanaccm wenzake wanaopingana nae ama kushindana nae.

Katika mazingira hayo ni dhahiri kuwa Mwigulu amekuwa akiwasiliana na bosi wake-Katibu mkuu Kinana katika kuwashauri au kutafuta maelezo au ufafanuzi wa mambo mbalimbali yanayokikumba chama chao. Katika kuwasiliana huko ni wazi kuwa amekuwa akiwasiliana kwa ukaribu zaidi na katibu mkuu wake Kinana na akimsaidia kwa ukaribu katika kutekeleza majukumu yake kwakuwa yeye (Mwigulu) ndiye msaidizi wa karibu zaidi kwa Kinana. Katika kuwasilaiana na Kinana bila shaka amekuwa akitumia njia mbalimbali za mawasiliano kama vile kuzungumza nae ana kwa ana, ama akizungumza nae kwa simu, ama anawasiliana nae kwa barua/barua pepe au fax na njia nyingine za mawasiliano zinazokubalika kiofisi.

Hata mara moja sijawahi kumsikia ama kumuona Mwigulu Nchemba akitoka hadharani kwenye vyombo vya habari na kuuambia umma wa watanzania aidha kupitia press release, au kupitia mitandao ya kijamii, au kupitia magazeti, au television na radaio kwamba amemuandikia rasmi katibu mkuu wake Kinana kumuomba ufafanuzi au maelekezo ya jambo Fulani linalomhusu kiongozi mmoja wa chama chao.

Pamoja na kushuhudia mashambulizi mengi dhidi ya Lowasa kutoka kwa wanaccm wenzake, tena wakati mwingine Lowasa ameshambuliwa hadharani na viongozi wakubwa wa ccm lakini sijawahi kumuona Mwigulu akitoka kwenye vyombo vya habari na kututangazia kwamba amemuandikia barua Katibu mkuu wake Kinana atoe taarifa ya kukanusha mashambulizi yaliyofanywa dhidi ya Lowasa ama akiri kwamba kiongozi huyo (aliyemshambulia Lowasa) ametoa matamshi hayo kwa niaba ya chama hivyo wanachama wa ccm na wananchi kwa ujumla watambue kuwa huo ndio msimamo wa ccm juu ya kada wake Lowasa.

Nionachoamini ni kwamba Mwigulu amekuwa akiwasiliana kwa karibu sana na katibu mkuu wake Kinana katika kumsaidia kutekeleza majukumu yake, ni dhahiri kuwa Mwigulu amekuwa akiitumia ofisi yake ya naibu katibu mkuu pale Lumumba na Dodoma katika kutekeleza majukumu yake ya unaibu katibu mkuu wa ccm. Ni dhahiri kuwa Mwigulu amekuwa akimuandikia barua rasmi za kiofisi kumhoji juu ya mambo Fulani yenye mwelekeo wa kukimuiza chama chao ama viongozi wao ama wanachama wao, lakini kama nilivyogusia tangu hapo awali sijawahi kumuona akivujisha barua zake hizo katika vyombo vya habari kwa sababu iwayo yoyote ile.

Kutokana na mazingira hayo na kutambua kwamba Mwigulu amekwisha kuchagua upande anaouunga mkono (Lowasa), lakini pia naye amekuwa akitajwa kwamba anafikiria kujitosa katika kinyang’anyiro cha uraisi (huenda ni alternative choice incase bid ya Lowasa imekwama), bila shaka amekuwa akipambana ndani ya ccm kuhakikisha kuwa jina lake na la mgombea wake hayachafuliwi bila sababu za msingi.
Kwa mantiki hiyo basi nimekuwa nikitamani sana kumuona ama kumsikia ama kumsoma Mwigulu Nchemba akitoa press release, au akiandika katika mitandao ya kijamii kwamba amemuandikia rasmi barua katibu mkuu wake Kinana kutaka maelezo ama ufafanuzi wa hoja kwamba viongozi na wanachama wa ccm wanaomshambulia “mgombea wake” hadharani kwa kumhusisha na kashfa mbalimbali za ufisadi na zinazoonyesha dhahiri zinamchafua kiongozi huyo.

Kwakuwa Mwigulu anaungwa mkono na vijana wengi ndani ya ccm, na kwakuwa vijana wengi wa ccm wanamuunga mkono Lowasa katika mbio zake za kuwania uraisi, na kwakuwa kuna baadhi ya viongozi wa ccm tena wengine wa kitaifa wamekuwa wakiendelea kumchafua Lowasa, na kutokana na kuendelea kuongezeka kwa upinzani ndani ya ccm dhidi ya Lowasa ni dhahiri kuwa muda si mrefu tutamshuhudia Mwigulu Nchemba akitujuza ni kwa kiwango gani amepambana kuhakikisha kuwa jina la mgombea wake halichafuliwi na atatufahamisha ni barua ngapi amemuandikia Kinana akimtaka atoe tamko la kukubali ama kukanusha taarifa zote zinazoandikwa ama kuchapishwa zikimshambulia Lowasa. Ninausubiri wakati huo kwa hamu sana kwakuwa muda si mrefu tutayashuhudia “maajabu” hayo yakitokea.

Nawasilisha.

Umejichanganya sana kwenye hii issue yako, chuki au mapenzi yamekuzidi,
Kwanza issue ya zitto na chama chake sio ya umri kabisa, umejipotosha kwa kuanzia hapo.
Pili Kesi ya Lowassa unasema Mwigulu alalamike kwa misingi gani Kama sio kutufanya watoto hapa ndani?
Ule waraka wa SIRI unasema wazi kwamba CHADEMA kupitia kitengo chake cha kijasusi walitilia mashaka na kumchunguzaa zitto.
Kuna wana CHADEMA Kama BEN SANANEE wametajwa mle kwa kupewa RUSHWA lakini walipochangia awakukanusha kuhusu kupewa laki na nusu, tena inaonekana wazi Kabisa Ben yuko poa na ule Uzi yaani ajaumia kichwa nao kabisa, sasa Zitto kuomba chama kutoa msimamo nini mbaya?
 
Hayo maandishi yako ndio liwe somo lako wewe mwenyewe unapotetea kila jambo la CDM hata ambapo makosa yapo wazi.

Hamna chama cha siasa duniani kinachoendeshwa na maroboti bali ni binadamu kama mimi na wewe. Na watu wana ambitions zao za maisha na mafanikio si lazima yawe kwasababu ya finances bali goals, hivyo lazima uelewe kwenye mkusanyiko wa watu hata within an organisation kutakuwa na differing opinions ukiona uchaguzi wa nchi za dunia ya kwanza utashanga jinsi watu wanavyotupiana matusi na kutoleana siri hilo ni jambo la kawaida, hila muhimu ni kwamba baada ya uchaguzi almost 80% of party lines have to be adhered to by every member ndio sababu ya kuwa na party whips to make sure every senior member is in toe with party lines, policies and discipline after the elections. Sasa watu wanaovunja kanuni za uchaguzi wa chama kisa nafasi, kutoa ruhusa ya vikarogosi wao kutukana viongozi wao ukiwemo wewe kuna misingi na adabu za chama kweli.

CCM imeliweza hilo ndio maana unaona makundi yao uibuka wakati wa uchaguzi na uisha baada ya hapo. Na wanachama wachanga wanaelewa kuna mengi ya kujifunza kabla ya kudandia hoja za uraisi labda wapendekezwe something which will not happen anytime soon ndani ya CCM kwa sasa its an era thing that needs understanding of modern minds and people holding power and their psychology (out of topic: What do you know about psychology kwa wale wangu usishange nakupanda wewe kuliko unavyodhani unanipanda mimi).

Tatizo la CDM chama hakina foundation and principles za kwamba wanachama lazima wakielewe chama na misingi yake na chama chenyewe akisimamiwi na kiongozi yoyote kwa sababu hizo. Hata huyo chief whip sidhani kama anajua anajukumu la kuwakemea viongozi wa juu wa chama, kazi ya chief whip ni kulinda policies za ndani ya chama na za kitaifa. Viongozi wenu wa juu wamekuwa wanafiki na wenye kutaka kubaki kwa sababu ya maslahi lakini si kwa sababu zenye nia ya kukuza sera za chama, kuelimisha sera za maendeleo yeyote anaweza endesha CDM kwa sasa kwakuwa hoja ni ufisadi (aimed at angering voters) true huo hupo but are those the solutions to our current poor governance imbalances bad checks.

Ni kijana asie mwelevu tu hataki support CDM tena ni blind supporter as in your case (kama wewe ni kijana).
 
ahaa haaa, Mwita Maranya bwana. Nyie ndiyo mnaowaharibu viongozi wetu kwa kutokuwa wa kweli. Unalinganishaje vitu ambavyo havilinganishwi?

i) ulishaona mjumbe wa Kamati Kuu wa CCM akimnanga Kiongozi wake kama vile Naibu Katibu Mkuu hadharani kama alivyofanya Lema?

ii) Ulishaona viongozi wa Mkoa wa CCM wakasambaza waraka wa kumchafua kiongozi wao kama vile Naibu Katibu Mkuu kama alivyofanya Kileo ambaye ni Katibu wa Mkoa wa CDM wa Kinondoni kupitia blog yake?

iii) Ulishaona Katibu Mkuu wa CCM akashangilia post inayomchafua Naibu Katibu Mkuu wa chama chake kama alivyofanya Dk Slaa hapa JF alivyokuwa ana-like post zilizokuwa zinamnanga Naibu Katibu Mkuu wake?

iv) Umeshawahi kuona kijana anayemchafua Naibu Katibu Mkuu wa CCM mitandaoni na ambaye ana kesi pending akaajiriwa makao makuu ya CCM kwa kazi maalumu kama ambavyo Ben sanane ameajiriwa makao makuu na Katibu Mkuu wa CDM kwa kazi maalumu ya kumshughulikia Naibu Katibu Mkuu?

Tumeambiwa waraka wa uchafuzi umechomolewa kutoka makao ya CDM ambaye mtunzanji wake mkuu ni Katibu Mkuu. Tumeambiwa utafiti wa kumfuatilia Naibu Katibu Mkuu umefanyika tangu 2008 na umefanywa na vijana wa chama waliopewa kazi maalumu. Hakuna mtu makao makuu aliyekanusha jambo hili kwa wiki mbili na bado ulitaka Zitto akae kimya? Ulitaka barua ya malalamiko aipeleke kwa nani wakati utaratibu unaeleza kwamba malalamiko yote yanaelekezwa kwa Katibu Mkuu, hata kama mwenyekiti ana malalamiko?

Sikiliza Maranya, nyie ndiyo mnaokiharibu chama na kuwapa kiburi viongozi wetu kwa kuendekeza unafiki. Unafiki wenyewe ni kwamba akifanya kosa "A" ni kosa, lakini kosa hilohilo akifanya "B" si kosa. UNAFIKI. Ukweli pekee ndiyo utakaotuponya. Wiki ijayo tuna Kamati Kuu na tunaendelea kuandaa nyaraka hapa. Dk amejaribu sana kukwepesha ajenda ya kujadili huu mgogoro, anataka tukajadili mambo ya kawaida tu kama vile hakuna tatizo katika chama. Wajumbe wamegangamala kwamba jambo hili lazima lishughulikiwe kikao kijacho cha KK.

Nyie endeleeni kuwalisha viongozi wetu ----- mkidhani mnakisaidia chama.
 
Amazing baada ya kuyajua yote hayo bado unaamini una support chama cha siasa, au wewe hupo kwenye ubia wa SACCOS maana kama viongozi mnao wanada kuchukua uraisi ni wanafiki kuna mabadiliko kweli. Siku hizi wana waajiri mpaka watu wakuwatungia uongo wengine bado tunasubiri ahadi za wanafunzi kwenda kile chuo cha marekani alicho wa ahidi vijana wetu, katibu mkuu wenu.

Kukumbushana muhimu.
 
Ndio maana tunapambana ili kutengeneza chama sahihi mbadala wa CCM isiyoweza kufufuka tena!
 
TECH WIZ kuna kitu kinaitwa Extrasensory perception (ESP)...ama unayo au huna. Yawezekana wewe ni the Tech Wiz kweli lakini sidhani kama umeweza kufanikiwa kusoma between the lines. Trouble is, if you couldnt get the message the first time, kurudia kusoma hakutakusaidia.

Sawa Neurologist nimekuelewa,Infact umenikumbusha mbali sana katika masuala ya sensory receptors and information perception/procession.Anyway nimemuelewa sana Maranya hapo juu nisichomuelewa ni kama kweli hafahamu chochote kuhusu bad terms iliyopo baina ya viongozi wa juu wa chama na viongozi gani ambao hawana good terms;na kama anafahamu je anajua sababu ni nini hasa?Na katika mazingira kama hayo kutakuwa na hali ya kuaminiana kweli baina ya viongozi hawa.Na hii ndio sababu inayofanya Zitto aitumie JF na Mitandao mingine ya kijamii kutafahamisha nini kinachoendelea sababu anajua fika kuwa barua yake ingepuuzwa tu.
 
Back
Top Bottom