Mwigulu Nchemba karopoka tena

ain't suprised at all..... unategemea nn ukifungua Chemba ya choo?

harufuu mbyaaaaaaa ....... na ndo hyoooooooo imepasuka
 
#18 Mwigulu Nchemba 2012-08-22 16:05
"Huo ni uonevu kwa chama chetu,lakini kwa kuwa mahakama na vyombo vyote vya dola viko chini ya serikali inayoongozwa na sisi yaani CCM kitaeleweka tu,na pili hata wakisema twende kwenye uchaguzi leo tuko tayari hatuogopi kitu sisi,kwani kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji"

alikua akitoa maoni yake juu ya uamuzi wa mahakama kumfumua kafumu wa igunga


Debe shinda haliishi kutika.
 
walaid uyu dogo angekuwa mbunge wang' nngemwnda kaa ngedere...uyu jamaa ni lofa
 
walai uyu dogo angekuwa mbunge wangu' nngemwnda kaa ngedere...uyu jamaa ni lofa
 
nyie ndio mtakua wanda wazim sababu yeye hulipwa mshara kwa kuongea tu sasa mntaka Alie hiyo ndio moja ya kaziyake akika kimyma mju kua hana AJIRA..Huyo

Sio lazima uongee upuuzi kwa sababu unalipwa tu acha kujirahisisha.

Kuna vitu vya kuongea hata kwa mtu kada wa CCM vikaleta mvuto na kuwapa watu matumaini, tatizo wananchi hatuvisikii tunasikia utumbo mtupu.

Ukitetea kauli hizi kimsingi unatetea CCM na serikali kuingilia uhuru wa mahakama.
 
Jamaaa huwa anamatatizo ya mtindio wa ubongo....hivyo mimi simshangai kuropoka ndio siasa zake...tujipange tu 2015 kumchukulia jimbo
 
Uchaguzi hauwezi kurudiwa na ukirudiwa mwigulu huendi, mate yote hayo kwa mke wa mtu
 
kAFUMU KAFUMULIWA NA KAKUBALI,NCHEMBA AENDE KWENYE CHEMBA ,MOTO WA CDM NI NNOMA ANAFIKIRI SHELUI HAPA? SAFARI YAKE YA KISIASA NI NGUMU MNO HOJA ZAKE HUWA NI NYEPESI NA HAZINA MASHIKE.LAZIMA AITETEE IGUNGA MAANA KULE SI NDIKO ALIKO FUMANIWA??????????KWANI MMESAHAU JAMANI?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom