Kuna mamba kadhaa ambayo Nchembe anakubali
1) Chadema ni tishio kwa CCm na hasa Dr. Slaa, nadhani wakisikia amekufa kwao inaweza kuwa sherehe
2) Mwigulu anakiri wazi kuwa ndani ya CCM hakuna usala na kuwa wao hata kufika hapo 2015 ni issue
my Take. magamba wanachoshindwa kuelewa ni kuwa kwa sasa Chadema ni taasisi sio mtu, wao wanadhani bila Dr Slaa CDM haitakuwepo, wanasahau jinsi Lisu anavyowapelekesha, jinsi Mnyika anavyowappelekesha, jinsi Mbowe anavyowapelekesha, jinsi Lema anavyowapelekesha, halima, Msigwa, Vincent Nyerere, Wenje, Silinde. hapo bado katiba mpya, mbona watajuta!!!!!