huyo muuaji kauwa watu Arusha, akamuua mwenyekiti wa chadema kata ya usa river, akamuua wakala wa chadema igunga...
Hatari kweli kweli. Eti nae anataka uraishuyo muuaji kauwa watu Arusha, akamuua mwenyekiti wa chadema kata ya usa river, akamuua wakala wa chadema igunga...
huyo muuaji kauwa watu Arusha, akamuua mwenyekiti wa chadema kata ya usa river, akamuua wakala wa chadema igunga...
Mwigulu hana tofauti na savimbi
Una ushahidi au unabwabwaja tu kama juha?
Hahahahaha.aliingizwa mkenge na ZZK akajua kumkata yeye ZZK ni kuikamata CDM, Mungu mkubwa wanaumbuka kwa zamu
Ni kweli kabisa.. Halafu yeye hajajitambua. Kila akimaliza mikutano yake vijana wanpost kwenye social network jamaa kasambaratisha ngome ya UKAWA. mara apokelewa kama mfalme. maneno kibaomwiguru kwa watu wasiona akili anaweza kuaminisha kuwa mavi yanaweza kuwa kiungo cha cha kula lakn watu walioamini wakitumia baadae wanagundua ni ujuha ndo maana kila anapohutubia sehemu yoyote ile akiondoka tu baada ya muda fulani watu wanaanza kudharau hotuba yake na ndo maana sehemu zote alizoenda kwa ajili ya kampeni chama chake kimepigwa vibaya
....
......Jamaa alienda Karatu akapewa uchifu kumbe wairaqw wanamchora tu kama zuzu kilichotokea !!!
....
......Jamaa alienda Karatu akapewa uchifu kumbe wairaqw wanamchora tu kama zuzu kilichotokea !!!
Huyu jamaa ni hatari sana. Ila nina uhakika kuna siku ukweli utafahamika.Time will tellMSALANI huamini kuhusu muuwaji??
Muuwaji alikamatwa akataja waliomtuma, akatorokea mahakani kiajabu!!
M/kiti USA alichinjwa na chainsaw,
kinyama kabisa!!