Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015


Unafaa kujiunga na bendi ya Mzee Yusuph
 
Kwa yanayoendelea sasa, hakika CHADEMA ndo inaelekea kuzimu. Angalia mtifuano huu;

Lema Vs Zitto

Mbowe Vs Zitto

Slaa Vs Zitto

Mwigamba Vs Lema

Hii ni mitifuano ya hivi karibuni ambayo haioneshi mwelekeo chanya wa CHADEMA

Nyani anamwonesha mwenye shamba ni mahali gani ambapo mahindi yanatakiwa yalindwe kwa ukamilifu wake. Ha ha haaaa! Zitto amelalamika kwako? Mshauri cha kufanya.
 
vp ile sumu bado unayo naogopa ugali mtamu bwana
 
Nyani anamwonesha mwenye shamba ni mahali gani ambapo mahindi yanatakiwa yalindwe kwa ukamilifu wake. Ha ha haaaa! Zitto amelalamika kwako? Mshauri cha kufanya.

Hiyo migogoro iko wazi na kila mtu anaijua
 
Chadema kwa sasa ni kama kundi la karate au kundi uasi kama boko haramu na mengineyo

Imefika wakati kwenye vikao vya chadema watu wanaenda na matofari kwaajili ya kupiga watu kama alivyofanya lema,

kilichopo sasa ndani ya vikao vya chadema kila mjumbe ataenda na fimbo kwa ajilimya kuchapana kwenye kikao kama mambo yakiharibika.

Sikutegemea wala sikudhani kama itafika hatua watu wanapigwa matofari kwenye vikao chama cha ajabu sana hiki.
 
Umekurufupuka...ndiyo lugha gani tupa kule.
 

Ni kama vile CCM anguko lake tayari limeonekana na Mwenyekiti keshalitaja pale Dodoma, RUSHWA! Hakika 2015 tuna kazi, maana tunaona maanguko ya vyama tu!
 
Hiki kwani kilikuwa kikao huyu ni jangili na mharifu kwa nini asipigwe wakati ni jangili wa tabia.

Dogo angalia sana wakati unaandika hilo neno hapo kwenye blue.
Unaweza kupoteza 'ajira' yako fasta...
Chezea 'jangili' wewe...!!

Jangili = Al-Shaabab....!!



 
Chadema wamebakisha siasa za matukio tu watanzania wameishwapuuza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…