Matusi hayasaidii saa hizi,, ni kichapo tu na ADHABA tarehe 2,, mapema tu kama walivyosema wengine.Huyu jamaa ni hatari sana sana na ameivuruga CDM vibaya sana. Kbla hajaja hapa Igunga vijana wengi sana kama si wote walikuwa CDM,, sasa huyu alipokuja amewabadilisha mbaya na mpaka jana usiku ilidhihirika pale vijana walipokesha huko Isakamaliwa wakiimba nyimbo za CCM. Ikiwa CDM itashindwa, basi mtu aliyewaangamiza atakuwa Nchemba maana jamaa ana mvuto kwa vijana na anajua kuutumia mdomo wake. Ngoja tuangalie leo kitatokea nini, ila hali ndivyo ilivyo hapa kwenye dakika hizi za lala salama.[/QUOT
kwa jinsi unavyomsifia mwaume mwezio!!,malizia kwa kumpa mkeo
dakika za lala salama tutasikia malalamiko mengi sana ambayo hayaponyeshi kichapo tarehe 2. Mwendo mdundo babakeulikuwa miongoni mwao waliokesha kuimba nyimbo za ccm, je hapo bado unakata kuwa wewe si mtumwa?????????????????? Ccm bana ikiwapatia walalahoi wasiotaka kusumbua ubongo inawatumia kweli.
Huwezi amini jengo la ccm kijijini kwetu wamepangishiwa watu wanaishi hakuna wanachama na hii sitani. Sasa hao wanaokesha usiku kuimba nyimbo za ccm sijui ni wageni hapa tz au ni wale tu kwao maendeleo ni kipande cha kanga, kofia na pengine chakula cha mchana au kusafirishwa kupelekwa kwenye viwanja vya kufanyia kampeni.?????????????????
mpashe mlugaluga huyoMatusi hayasaidii saa hizi,, ni kichapo tu na ADHABA tarehe 2,, mapema tu kama walivyosema wengine.
Huyu jamaa ni hatari sana sana na ameivuruga CDM vibaya sana. Kbla hajaja hapa Igunga vijana wengi sana kama si wote walikuwa CDM,, sasa huyu alipokuja amewabadilisha mbaya na mpaka jana usiku ilidhihirika pale vijana walipokesha huko Isakamaliwa wakiimba nyimbo za CCM. Ikiwa CDM itashindwa, basi mtu aliyewaangamiza atakuwa Nchemba maana jamaa ana mvuto kwa vijana na anajua kuutumia mdomo wake. Ngoja tuangalie leo kitatokea nini, ila hali ndivyo ilivyo hapa kwenye dakika hizi za lala salama.
Naripoti tu mkuu ninachokiona live toka IGUNGA. Mwendo bado mgumu ka vyama vyoteNaona umeongezwa kwenye list ya vibaraka leo, maana ulivokuja kasi!!!
Itakusaidia nini kushinda iwapo Tanzania inazidi kuzama kwanye dimbwi la ufukara????????? Tumia akili ingawa kidogo kufiri juu ya future ya Tanzania wacha ushabiki wa kijinga!!!!!!!!!!!!Unalipwa nini kuweka ujinga hapa????dakika za lala salama tutasikia malalamiko mengi sana ambayo hayaponyeshi kichapo tarehe 2. Mwendo mdundo babake
Hilo kweli mwigulu ni noma.sijui alikuwa wapi siku zote hizo.nilimuona jana mlimani tv akimwaga hoja nzitonzito na kuwafunika mtatiro wa cuf na zitto wa chadema.
hacha kutukana wenzio ***** wewe,, kwani weee unalipwa nini kuweka upupu wako humu?Itakusaidia nini kushinda iwapo Tanzania inazidi kuzama kwanye dimbwi la ufukara????????? Tumia akili ingawa kidogo kufiri juu ya future ya Tanzania wacha ushabiki wa kijinga!!!!!!!!!!!!Unalipwa nini kuweka ujinga hapa????
mke wako atakapogongwa wala hutaju kaka,,,,,, usiombeeeNikweli balaa kwakutembea na wake za watu ningekuwa mimi nipo igunga nisinge ruhusu mke wangu amsogelee
Huyu jamaa ni hatari sana sana na ameivuruga CDM vibaya sana. Kbla hajaja hapa Igunga vijana wengi sana kama si wote walikuwa CDM,, sasa huyu alipokuja amewabadilisha mbaya na mpaka jana usiku ilidhihirika pale vijana walipokesha huko Isakamaliwa wakiimba nyimbo za CCM. Ikiwa CDM itashindwa, basi mtu aliyewaangamiza atakuwa Nchemba maana jamaa ana mvuto kwa vijana na anajua kuutumia mdomo wake. Ngoja tuangalie leo kitatokea nini, ila hali ndivyo ilivyo hapa kwenye dakika hizi za lala salama.