Huyu jamaa ni hatari sana sana na ameivuruga CDM vibaya sana. Kbla hajaja hapa Igunga vijana wengi sana kama si wote walikuwa CDM,, sasa huyu alipokuja amewabadilisha mbaya na mpaka jana usiku ilidhihirika pale vijana walipokesha huko Isakamaliwa wakiimba nyimbo za CCM. Ikiwa CDM itashindwa, basi mtu aliyewaangamiza atakuwa Nchemba maana jamaa ana mvuto kwa vijana na anajua kuutumia mdomo wake. Ngoja tuangalie leo kitatokea nini, ila hali ndivyo ilivyo hapa kwenye dakika hizi za lala salama.
Alikuwa busy na wanazuoni wa kiislam wakianda tamko la kulaani bi Fatma Joseph kuvuliwa ushungi na kusafisha shamba la bi Fatma la kitimoto kule Tegeta.What a pity!Hilo kweli mwigulu ni noma.sijui alikuwa wapi siku zote hizo.nilimuona jana mlimani tv akimwaga hoja nzitonzito na kuwafunika mtatiro wa cuf na zitto wa chadema.
Huyu jamaa ni hatari sana sana na ameivuruga CDM vibaya sana. Kbla hajaja hapa Igunga vijana wengi sana kama si wote walikuwa CDM,, sasa huyu alipokuja amewabadilisha mbaya na mpaka jana usiku ilidhihirika pale vijana walipokesha huko Isakamaliwa wakiimba nyimbo za CCM. Ikiwa CDM itashindwa, basi mtu aliyewaangamiza atakuwa Nchemba maana jamaa ana mvuto kwa vijana na anajua kuutumia mdomo wake. Ngoja tuangalie leo kitatokea nini, ila hali ndivyo ilivyo hapa kwenye dakika hizi za lala salama.
Huyu jamaa ni hatari sana sana na ameivuruga CDM vibaya sana. Kbla hajaja hapa Igunga vijana wengi sana kama si wote walikuwa CDM,, sasa huyu alipokuja amewabadilisha mbaya na mpaka jana usiku ilidhihirika pale vijana walipokesha huko Isakamaliwa wakiimba nyimbo za CCM. Ikiwa CDM itashindwa, basi mtu aliyewaangamiza atakuwa Nchemba maana jamaa ana mvuto kwa vijana na anajua kuutumia mdomo wake. Ngoja tuangalie leo kitatokea nini, ila hali ndivyo ilivyo hapa kwenye dakika hizi za lala salama.
tupeni taarifa vizuri labda hao vijana wamembaka maana kampen ni mchana lakini walikuwa wanashangilia usikuvipi, mchemba kabaka tena mke wa mtu huko igunga au kumetokea nini hivo kumfanya awe balaaa?????????
Hapo penye rangi,,, boss wenu kawa recruit wengi inaelekea...hahahahaaaaaaaaKamwambieni boss wenu aongeze nguvu nyingine,nyie bado wachache sana hasa mnapoleta habari za kupika,TUWEKEE PHOTO TUONE kama kweli.
Huyu jamaa ni hatari sana sana na ameivuruga CDM vibaya sana. Kbla hajaja hapa Igunga vijana wengi sana kama si wote walikuwa CDM,, sasa huyu alipokuja amewabadilisha mbaya na mpaka jana usiku ilidhihirika pale vijana walipokesha huko Isakamaliwa wakiimba nyimbo za CCM. Ikiwa CDM itashindwa, basi mtu aliyewaangamiza atakuwa Nchemba maana jamaa ana mvuto kwa vijana na anajua kuutumia mdomo wake. Ngoja tuangalie leo kitatokea nini, ila hali ndivyo ilivyo hapa kwenye dakika hizi za lala salama.[/QUOT
kwa jinsi unavyomsifia mwaume mwezio!!,malizia kwa kumpa mkeo
Unataka ujuzwe mara ngapi mkubwa? Habari ndiyo hiyo,, jahazi linazidi kuzama. Inueni mioyoTujuzane tujue kinachoendelea