RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,029
- 7,775
Acha blablaa mkuu, lugha kama hizi ndiyo inasababisha wanasiasa wanawaona vilaza.Kiasi fulani wamejitahidi,hasa ufunguzi wa kanisa,kupinga tuhuma za askari kuua raia n.k,lakini ningependa kuona serikali na viongozi wanakua pro active zaidi kuliko kuacha mambo yaharibike ndio walete spinning machine wa kuchezesha beat watanzania!
Atachemsha tu. Wananchi wa leo sio wale wa miongo mitatu iliyopita!Naona kitengo Cha propaganda kimepata spinning machine inayocheza script ya kitengo Ili ku neutralize Hali iliyopo!
Kiasi fulani wamejitahidi,hasa ufunguzi wa kanisa,kupinga tuhuma za askari kuua raia n.k,lakini ningependa kuona serikali na viongozi wanakua pro active zaidi kuliko kuacha mambo yaharibike ndio walete spinning machine wa kuchezesha beat watanzania!
Utamaduni wa kuharibu halafu baadae mnatengeneza palipoharibika na kujisifu Bado ni wa kijima sana Kwa zama hizi!
Kwamfano
Mnafungia makanisa halafu baadae mnayafungulia mnataka mpongezwe,huo sio uongozi no umbumbumbu!
Mnawasingizia kesi za uhaini watu,wengine mabinti wadogo kabisa baadae mnawaachia mnataka mpongzwe na ionekane serikali imefanya kazi huo nao ni umbumbumbu!
Mnatumia vyombo vya dola kunyamazisha watu,baadae watu wanachoka na kuandamana wanakufa vifo vya aibu halafu baadae mna spin vifo kwa mazishi ya mchongo na ya aibu Hadi CNN inaripoti na mnaanza ku spin taarifa,kwanini msingezuia mauaji Kwa kufuata Sheria na haki zake kuliko ubabe wa dola!!?
Kifupi no kwamba,comrade nchemba unatumika kama spinning machine ya umbumbumbu wa serikali na chama chetu CCM Kwa kushindwa kusimamia Sheria na taratibu tulizojiwekea na kuzitunga wenyewe!!
Umbumbumbu was kiwango Cha juu sana unashuhudiwa zama hizi!!
Kama ilani yetu inasema "KAZI na utu" Kwanini tusionyeshe huo utu Kwa kufuata Sheria na taratibu tulizojiwekea!!?
Mungu ibariki Tanzania!
Na hakuna atakaye muelewa watu walishatoka huko zama za kale utawala huu ni haramuNaona kitengo Cha propaganda kimepata spinning machine inayocheza script ya kitengo Ili ku neutralize Hali iliyopo!
Kiasi fulani wamejitahidi,hasa ufunguzi wa kanisa, kupinga tuhuma za askari kuua raia n.k,lakini ningependa kuona serikali na viongozi wanakua pro active zaidi kuliko kuacha mambo yaharibike ndio walete spinning machine wa kuchezesha beat watanzania!
Utamaduni wa kuharibu halafu baadae mnatengeneza palipoharibika na kujisifu Bado ni wa kijima sana Kwa zama hizi!
Kwamfano
Mnafungia makanisa halafu baadae mnayafungulia mnataka mpongezwe,huo sio uongozi no umbumbumbu!
Mnawasingizia kesi za uhaini watu,wengine mabinti wadogo kabisa baadae mnawaachia mnataka mpongzwe na ionekane serikali imefanya kazi huo nao ni umbumbumbu!
Mnatumia vyombo vya dola kunyamazisha watu,baadae watu wanachoka na kuandamana wanakufa vifo vya aibu halafu baadae mna spin vifo kwa mazishi ya mchongo na ya aibu Hadi CNN inaripoti na mnaanza ku spin taarifa,kwanini msingezuia mauaji Kwa kufuata Sheria na haki zake kuliko ubabe wa dola!!?
Kifupi no kwamba,comrade nchemba unatumika kama spinning machine ya umbumbumbu wa serikali na chama chetu CCM Kwa kushindwa kusimamia Sheria na taratibu tulizojiwekea na kuzitunga wenyewe!!
Umbumbumbu was kiwango Cha juu sana unashuhudiwa zama hizi!!
Kama ilani yetu inasema "KAZI na utu" Kwanini tusionyeshe huo utu Kwa kufuata Sheria na taratibu tulizojiwekea!!?
Mungu ibariki Tanzania!
They are too corrupt to admit.Ni kazi yake ya muda mrefu sana, Kwa bahati mbaya kwa hili hakuna atakayemuelewa.
Hili jambo halihitaji propaganda yoyote zaidi ya uwajibikaji.
They are too dumb to understand.
See!They are too corrupt to admit.
Naona kitengo Cha propaganda kimepata spinning machine inayocheza script ya kitengo Ili ku neutralize Hali iliyopo!
Kiasi fulani wamejitahidi,hasa ufunguzi wa kanisa, kupinga tuhuma za askari kuua raia n.k,lakini ningependa kuona serikali na viongozi wanakua pro active zaidi kuliko kuacha mambo yaharibike ndio walete spinning machine wa kuchezesha beat watanzania!
Utamaduni wa kuharibu halafu baadae mnatengeneza palipoharibika na kujisifu Bado ni wa kijima sana Kwa zama hizi!
Kwamfano
Mnafungia makanisa halafu baadae mnayafungulia mnataka mpongezwe,huo sio uongozi no umbumbumbu!
Mnawasingizia kesi za uhaini watu,wengine mabinti wadogo kabisa baadae mnawaachia mnataka mpongzwe na ionekane serikali imefanya kazi huo nao ni umbumbumbu!
Mnatumia vyombo vya dola kunyamazisha watu,baadae watu wanachoka na kuandamana wanakufa vifo vya aibu halafu baadae mna spin vifo kwa mazishi ya mchongo na ya aibu Hadi CNN inaripoti na mnaanza ku spin taarifa,kwanini msingezuia mauaji Kwa kufuata Sheria na haki zake kuliko ubabe wa dola!!?
Kifupi no kwamba,comrade nchemba unatumika kama spinning machine ya umbumbumbu wa serikali na chama chetu CCM Kwa kushindwa kusimamia Sheria na taratibu tulizojiwekea na kuzitunga wenyewe!!
Umbumbumbu was kiwango Cha juu sana unashuhudiwa zama hizi!!
Kama ilani yetu inasema "KAZI na utu" Kwanini tusionyeshe huo utu Kwa kufuata Sheria na taratibu tulizojiwekea!!?
Mungu ibariki Tanzania!
what do you expect if your leader is a Form Four Failue!Naona kitengo Cha propaganda kimepata spinning machine inayocheza script ya kitengo Ili ku neutralize Hali iliyopo!
Kiasi fulani wamejitahidi,hasa ufunguzi wa kanisa, kupinga tuhuma za askari kuua raia n.k,lakini ningependa kuona serikali na viongozi wanakua pro active zaidi kuliko kuacha mambo yaharibike ndio walete spinning machine wa kuchezesha beat watanzania!
Utamaduni wa kuharibu halafu baadae mnatengeneza palipoharibika na kujisifu Bado ni wa kijima sana Kwa zama hizi!
Kwamfano
Mnafungia makanisa halafu baadae mnayafungulia mnataka mpongezwe,huo sio uongozi no umbumbumbu!
Mnawasingizia kesi za uhaini watu,wengine mabinti wadogo kabisa baadae mnawaachia mnataka mpongzwe na ionekane serikali imefanya kazi huo nao ni umbumbumbu!
Mnatumia vyombo vya dola kunyamazisha watu,baadae watu wanachoka na kuandamana wanakufa vifo vya aibu halafu baadae mna spin vifo kwa mazishi ya mchongo na ya aibu Hadi CNN inaripoti na mnaanza ku spin taarifa,kwanini msingezuia mauaji Kwa kufuata Sheria na haki zake kuliko ubabe wa dola!!?
Kifupi no kwamba,comrade nchemba unatumika kama spinning machine ya umbumbumbu wa serikali na chama chetu CCM Kwa kushindwa kusimamia Sheria na taratibu tulizojiwekea na kuzitunga wenyewe!!
Umbumbumbu was kiwango Cha juu sana unashuhudiwa zama hizi!!
Kama ilani yetu inasema "KAZI na utu" Kwanini tusionyeshe huo utu Kwa kufuata Sheria na taratibu tulizojiwekea!!?
Mungu ibariki Tanzania!
Hawana akili ya kuielewa hii picha! wangeielewa ingewafungua akili zao.But awe makiniView attachment 3507458 Sana! Sikio la binadamu halizidi kichwa
Kuspin kwenyewe hajui. Licha ya kuwa mtupu japo anaitwa daktari, ni mshamba wa kawaida asiyepaswa kuchunga hata kundi la mbuzi.Naona kitengo Cha propaganda kimepata spinning machine inayocheza script ya kitengo Ili ku neutralize Hali iliyopo!
Kiasi fulani wamejitahidi,hasa ufunguzi wa kanisa, kupinga tuhuma za askari kuua raia n.k,lakini ningependa kuona serikali na viongozi wanakua pro active zaidi kuliko kuacha mambo yaharibike ndio walete spinning machine wa kuchezesha beat watanzania!
Utamaduni wa kuharibu halafu baadae mnatengeneza palipoharibika na kujisifu Bado ni wa kijima sana Kwa zama hizi!
Kwamfano
Mnafungia makanisa halafu baadae mnayafungulia mnataka mpongezwe,huo sio uongozi no umbumbumbu!
Mnawasingizia kesi za uhaini watu,wengine mabinti wadogo kabisa baadae mnawaachia mnataka mpongzwe na ionekane serikali imefanya kazi huo nao ni umbumbumbu!
Mnatumia vyombo vya dola kunyamazisha watu,baadae watu wanachoka na kuandamana wanakufa vifo vya aibu halafu baadae mna spin vifo kwa mazishi ya mchongo na ya aibu Hadi CNN inaripoti na mnaanza ku spin taarifa,kwanini msingezuia mauaji Kwa kufuata Sheria na haki zake kuliko ubabe wa dola!!?
Kifupi no kwamba,comrade nchemba unatumika kama spinning machine ya umbumbumbu wa serikali na chama chetu CCM Kwa kushindwa kusimamia Sheria na taratibu tulizojiwekea na kuzitunga wenyewe!!
Umbumbumbu was kiwango Cha juu sana unashuhudiwa zama hizi!!
Kama ilani yetu inasema "KAZI na utu" Kwanini tusionyeshe huo utu Kwa kufuata Sheria na taratibu tulizojiwekea!!?
Mungu ibariki Tanzania!
Hiyo PhD yenyewe feki na yenye utata. Huwa sioni tofauti baina ya mwigulu msukuma na sumuya au kikweetiMwigulu
Nchemba na PhD yake anachezeshwa singeli na mwanamke wa nchi jirani ya Zanzibar aliyepata Div IV O level !!