Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,108
- 2,553
Nikikumbuka mabomu ya Arusha na Mwangosi machozi yananilengalenga.Mwigulu anatakiwa kutubu kwa kweli.
Eti anataka kuonesha uzalendo wake!Kumbe hiyo ya kuvaa maandishi ya TANZANIA ni utoto, ulimbukeni na ushamba wa kiwango cha juu sana. Anayofanya Nchemba kama kweli ndio uzalendo, Nyerere angeandika TANZANIA kwenye paji lake la uso!Hivi huyu jamaa kwanini anapenda Sana kuvaa skafu na bracelate yenye nembo ya taifa.
Ujue mdau hawa watawala huwa wanajitungia sheria laini sana,angalia sheria ya baraza la maadili,angalia sheria ya kinga ya raisi,angalia sheria za kutoweka wazi mali za viongozi,sheria ipo,watu hawaitekelezi,na hakuna mbadala wa hiloTra vinara wa rushwa,hilo nalo vp?wez wa eskro hawajalipa kod hilo je?[
Ndo hyo issue kaizungumzia kuwa atapeleka sheria ambayo mtumishi akigundulika kaiba afungwe kuanzia siku hyo badala ya kumwachisha kazi au kumhamisha kituo,ni wazo zuri japo wenzie wanaweza kumwangusha ktk kufanikisha hilo so cha msingi tumpeni nguvu kijana mwenzetu ameonesha dhamira ya kuleta mabadiliko
Ujue mdau hawa watawala huwa wanajitungia sheria laini sana,angalia sheria ya baraza la maadili,angalia sheria ya kinga ya raisi,angalia sheria za kutoweka wazi mali za viongozi,sheria ipo,watu hawaitekelezi,na hakuna mbadala wa hilo
Ni kweli mkuu ila kiukweli Nchemba wa sahivi si yule wa zamani
Nikusaidie tu,wakat Prof anahangaika kwenda Lithuli alipokuwa kwenye kampeni kule Arusha alikataa kunywa maji yaliyokuwa imported from abroad.Ni kweli mkuu ila kiukweli Nchemba wa sahivi si yule wa zamani
So hawa watu wanapotaka nafas fulani hupenda kuongea yale yatufurahishayo,ila ngoja tuwape mamlaka,wanasahau yoooote,,,,,me siamini akisemacho kwakua ni mambo tulozoea kuyaskia from them
Nikusaidie tu,wakat Prof anahangaika kwenda Lithuli alipokuwa kwenye kampeni kule Arusha alikataa kunywa maji yaliyokuwa imported from abroad.
So hawa watu wanapotaka nafas fulani hupenda kuongea yale yatufurahishayo,ila ngoja tuwape mamlaka,wanasahau yoooote,,,,,me siamini akisemacho kwakua ni mambo tulozoea kuyaskia from them
But all in all political is a dead game,tukikaa tukafikiria sana ni kweli tutashindwa hata kuchagua viongozi but atleast wanaoonesha changes lets try to put them in a position
tehtehteh...mkuu hujaijua tu?teh teh, hazina gani?
Mdau hii nchi si ya majaribio tena,nchi inayotaka kuwa ya kipato cha kati haiwez kuwa ya kujaribujaribu watu kwenye uongozi,yaani wale elites ifike hatua wawashike mkono non-educated kwenye kufanya uchambuzi wa watu watakaotuongoza, in 2005 watu walikua na hope sana na huyu jama wa sasa,lakini leo hii hata zile tafit za rais mwenye mvuto hazifanyiki,hata akiongea watu hawamsikilizi ni kwakua watu wamechoka,yale matumaini yao yamepotea, na hili ndio chanzo cha watu kutopiga kura.Siamini katika MWIGULU,wala Makamba Jr,wala KIGWA or else, wanasiasa hucheza wimbo mmoja wa kuwahadaa wapiga kura.But all in all political is a dead game,tukikaa tukafikiria sana ni kweli tutashindwa hata kuchagua viongozi but atleast wanaoonesha changes lets try to put them in a position
Uchaguzi ukiisha?Ndg zangu,watanzania wenzangu,vijana wasiokuwa na ajira,kipindi cha uchaguzi ni kipindi cha kuangalia fursa.uchaguzi ni fursa kwa anayejua maana ya fursa.chagua kundi kati ya makundi ya wagombea kwani yote yana pesa ingia ndani.T-shirt xitakuwa hewani,vipeperushi nk.badala ya kuzozana bila tija kujidanganya unatumia Uhuru wa mawazo jioni unarudi kwenu mkavu kama pweza kikapuni.jitume na uangalie fursa kipindi hiki cha uchaguzi.ukikwama nitafute nikupe njia