jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,782
Kwa hiyo.........
Viongozi wetu wana mipango mizuri sana tatizo ni matendo.
Tra vinara wa rushwa,hilo nalo vp?wez wa eskro hawajalipa kod hilo je?[
Ndo hyo issue kaizungumzia kuwa atapeleka sheria ambayo mtumishi akigundulika kaiba afungwe kuanzia siku hyo badala ya kumwachisha kazi au kumhamisha kituo,ni wazo zuri japo wenzie wanaweza kumwangusha ktk kufanikisha hilo so cha msingi tumpeni nguvu kijana mwenzetu ameonesha dhamira ya kuleta mabadiliko
Tatizo tulikosea kumchagua Kikwete kuwa Raisi. Sahizi kila mtu anautaka uraisi.Kijana makini na mwenye dhamira ya kuleta mabaliko
Tatizo tulikosea kumchagua Kikwete kuwa Raisi. Sahizi kila mtu anautaka uraisi.
Amekusanya kodi zipi yeye kama nani?Kajitahidi kiasi chake hasa kwenye ukusanyaji wa kodi na ulipaji mishahara inalipwa kwa wakati mteuzi wake anazingua....
Nimemsikiliza Naibu Waziri wa Fedha Mh.Mwigulu Nchemba katika kipindi cha Dk.45 ITV,anayo majibu kuhusu kwanini nchi ni maskini kulinganisha na January
Makamba katika kitabu chake kilichozungumzwa sana cha Maswali 40.January amepiga tu blah blah za kisiasa lakini Mwigulu speaks substance.
Kwa mfano anashangaa kwamba mashirika ya umma yanayopaswa kuchangia zaidi ya asilimia 50 ya budget,mabosi wa mashirika hayo wameyageuza kuwa mali zao binafsi na wanajipigia tu hela,pia anashangaa kuwa mtu mwenye ng'ombe 10,000 halipi kodi.Naona anazungumza vitu halisia kuliko hata Mkuu wa Kaya mwenyewe aliyewahi kusema haelewi kwanini nchi hii ni maskini.
Jamaa makini sana hata wanaompinga wanamkubali kimoyo moyo
Mwigulu ni Nyerere wa pili
Atubu kwanza
teh teh, hazina gani?Si unajua tena ndipo penye hazina.
teh teh, hakuna mabadiliko ya kweli ndani ya ccm kamwe!Kijana makini na mwenye dhamira ya kuleta mabaliko
teh teh, mkuu hata mimi nilikuwa najiuliza, ina maana itv wameshindwa kutafuta watu wengine? Wapi kina saada mkuya, lisu, mbowe, lipumba, magufuli na wengineo? Itv waache ulevi huu!Swali la kwanza JOKA LA MAKENGEZA limehalipa kodi? na prof wa pesa za mboga je? Sina shida ya kumwangalia huyu.Mbona Kamanda Mbowe licha ya kuwa na wadhifa mkubwa humleti kwenye 45 minutes?
teh teh, chukua like mkuu!Alomteua hajaleta mabadiliko,alete mteuliwa?
teh teh, kwa hiyo na yeye anashangaa? Je waliokosa madaraka wafanyaje? Kila mtu analalamika. Duh, huu ndo usanii wa wanaccm!Nimemsikiliza Naibu Waziri wa Fedha Mh.Mwigulu Nchemba katika kipindi cha Dk.45 ITV,anayo majibu kuhusu kwanini nchi ni maskini kulinganisha na January Makamba katika kitabu chake kilichozungumzwa sana cha Maswali 40.January amepiga tu blah blah za kisiasa lakini Mwigulu speaks substance.
Kwa mfano anashangaa kwamba mashirika ya umma yanayopaswa kuchangia zaidi ya asilimia 50 ya budget,mabosi wa mashirika hayo wameyageuza kuwa mali zao binafsi na wanajipigia tu hela,pia anashangaa kuwa mtu mwenye ng'ombe 10,000 halipi kodi.Naona anazungumza vitu halisia kuliko hata Mkuu wa Kaya mwenyewe aliyewahi kusema haelewi kwanini nchi hii ni maskini.
duh, hizo bange za usiku ni hatari kwa afya ya ubongo wako ndugu!Mwigulu ni Nyerere wa pili
Kila cku yeye tu