Sasa na mbunge wao wanamchukia wakati anawatetea Bungeni?
Sasa na mbunge wao wanamchukia wakati anawatetea Bungeni?
Nipo hapa laiv, ndo mwigulu, kaingia pamoja na mbunge na mkuu wa wilaya ya Gairo... Watu ni wachache mno na mbaya zaidi hata wanaposema "ccm oyeee" watu kimyaa mpaka katibu wa ccm mkoa kakaukiwa koo... Mbunge ndo kimbembe kwake watu kimyaaa. Ntaleta picha
Usihofu
Ndio nini sasa.,picha hii ni ya nini, inamuonesha nani..? mods naomba hawa watu wasituharibie utaratibu hapa.Usihofu
Mwigulu ni jembe atavuta watu sasa hivi