Cynic
JF-Expert Member
- Jan 5, 2009
- 5,144
- 1,658
Chakula gani hicho?
ni ya mchichaAlafu hiyo supu inaonyesha ya utumbo![emoji86] [emoji86]
Mkuu nimecheka hadi watu wamenishangaa...Alafu hiyo supu inaonyesha ya utumbo![emoji86] [emoji86]
Unapoachaga udaku unakuwa umetulia sana.Watanzania tuna roho mbaya sana na wivu.
Kwani kuna ubaya gani huyo mtoto kulishwa?
Binafsi nimeipenda picha,mtoto kwa mzazi hakui na hongera Nchemba kwa malezi/mapenzi bora kwa mtoto.
Mkuu,nafikiri tatizo hujapata kunielewa mimi ni mtu wa aina gani.Unapoachaga udaku unakuwa umetulia sana.
Mtoto akiuunguzwa anaenda kutibiwa MarekaniHalafu hii supu inaonekana bado yamoto, angalia sura ya mtoto. Yeye kamkamata kichwa anamkandamizia tu. Atamuunguza mtoto kwa ujiko wa siku moja.