Mwigulu Nchemba akimlisha mwanae chakula

Mwigulu Nchemba akimlisha mwanae chakula

PAGAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
13,871
Reaction score
23,488
Picha kwa mujibu wa Facebook page yake. Ameandika: [HASHTAG]#MALEZI[/HASHTAG] baada ya kazi.
Sasa zilizoniacha hoi kule ni comments za watu, yaani nimecheka sana leo...

14192176_539443079591258_5743335797515835234_n.jpg
 
Mamboa yasiyo ya maana ni ya nini hapa? Kweli tumepotea njia. Ukaona hii nayo ni habari?...
 
Maneno ya Watu humu, yanaonyesha wazi wazi kwamba Watanzania wengi ndio wa hivo!
 
Itakuwa dawa tena chungu sana. Dogo naona hataki anamsukuma baba yake.

Dogo kunywa dawa kama chungu tema.
 
Back
Top Bottom