Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha aipongeza Klabu ya Simba bungeni;
"Lakini tulisaini mkataba na federation, tutatumia ile, tutavitumia vilabu vya Simba na Yanga vina walipa kodi wengi wafuasi wengi ili viweze kusaidia kutoa elimu pamoja na michezo yote itumike katika kutoa masuala ya kuelimisha watu kulipa kodi kwa hiyo hata hivi sasa niwapongeze Simba bado wana michezo ya Kimataifa, niwapongeze sana, mimi sio shabiki wa Simba"