Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,218
safi sana bora hata mjenga kanisa mungu atakuripa sio wanaochangisha pesa ili wakajenge nyumba zao ufukweni
Naibu katibu mkuu wa CCM na mbunge wa jimbo la Iramba magharibi ameshiriki kikamilifu kwenye harambee ya ujenzi wa kanisa wilaya ya singida Vijijini,kata ya Kijota Usharika wa Mijuhu jimbo la Mashariki Dayosisi ya kati KKKT.
Mbunge huyo amefanikisha upatikanaji wa Tsh.Milioni 19 na laki tisa na themanini.Pia amefakisha upatikanaji wa viti 500 vya plastic kama hatua ya awali katika kufanikisha ujenzi wa kanisa hilo.
Ikumbukwe Mbunge huyo anayevuma kwenye medani za siasa yawezekana kuliko mbunge yeyote kwa sasa hapa nchini,yupo jimboni kwake kukagua na kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo.Jana alianza kwa kufanya vikao vya ndani na madiwani na viongozi mbalimbali wa chama na serikali.
Pia siku ya jana alitumia kuhamasisha michezo jimboni kwake na wilaya mpya ya Mkalama ambapo Mbunge huyo alishiriki kucheza mechi ya mpira wa miguu akiwa upande wa madiwani.
Kwenye harambee ya leo mbunge huyo Mh.Mwigulu Lameck nchemba madelu alitumia nafasi kuongea na washarika na wananchi wa kata ya kijota,kijiji cha Ikuwi kuwaomba kuachana na tabia ya kulishwa maneno na wanasiasa na viongozi mbalimbali kuhusu serikali yao eti haifanyi kazi.
Amesisitiza kuwa endapo wananchi na viongozi wa vyama vya siasa wangemrudia mungu,wangejikita kusaidia ujenzi wa nyumba za ibada,kushiriki kwenye huduma za kiroho leo hii Tanzania tusingekuwa na aina hii ya viongozi wa vyama vya siasa hasa upinzani wenye uroho wa madaraka,wanaomwaga damu za watanzania ili tu wapate madaraka ndani ya nchi hii.
Mh.Mwigulu nchemba amekwenda mbali zaidi kwa kulaani vikali kauli ya kiongozi wa CHADEMA Dr.slaa yakuwambia viongozi wa dini waache kuombea amani ya nchi.Amesema viongozi kama hao ni wakupuuzwa kabisa kabisa,na niwazi Dr.slaa na chama chake hana nia njema kwa nchi yetu.Ni kwasababu aliachana na misingi ya dini na kiroho ndio maana uwezo wake wa kufikiri kuhusu amani ya nchi ni hafifu kupita kiasi.
KESHO Mh.Mwigulu Nchemba ataendelea na kazi ya kuzungukia miradi ya maendeleo hususani barabara ndani ya jimbo lake.
ASANTE.
......A fox and a wolf are both canine, both belong to the dog family. Now you take your choice. You going to choose a Northern dog or a Southern dog? Because either dog you choose, I guarantee you'll still be in the dog house........-Ha!ha!ha!ha!ha! Mwzee wa sumu ya panya you know, kumbe hawa mburulaz bina majangaz wa ukwe bado wapi. Walahi kama vipi Masali kiboko. Nilidhania sumu ya panya iliwaua enzi zile
-Imean, super sana CCM bado ni Imara, ila hawa mabaki ya CDM hatuwataki. Ben Saanane inabidi ufanye kazi nzuri kuwaangamiza hawa panya wa Prezo you know, kama vipi huyu mbebs ajipange sana arudi kwaho Bavicha
Ni mpuuzi zaidi yule anayesoma upuuzi na kuujibu upuuzi.Ujinga mtupu.Ni aibu kuleta upuuzi huu hapa jamvini.
Hueleweki mkuu jipange upya.Soma habari kwanza,unahama kwenye topic ya Mh.
MSALIMIE josephine Mshumbusi shemeji yako.
CHADEMA wamekariri "amani ni tunda la haki" bila hata kuelewa maana ya haki katika jamii.
Ukiwauliza haki ni nini hawana hata majibu wakati kila siku wanasema walianza na Mungu na watamaliza na Mungu.
Wanaosema amani ni tunda la haki, they can't even talk the talk and walk the walk.
-Ha!ha!ha!ha!ha! Mwzee wa sumu ya panya you know, kumbe hawa mburulaz bina majangaz wa ukwe bado wapi. Walahi kama vipi Masali kiboko. Nilidhania sumu ya panya iliwaua enzi zile
-Imean, super sana CCM bado ni Imara, ila hawa mabaki ya CDM hatuwataki. Ben Saanane inabidi ufanye kazi nzuri kuwaangamiza hawa panya wa Prezo you know, kama vipi huyu mbebs ajipange sana arudi kwaho Bavicha
nenda kuzimu.hujawahi kukose hata herifi moja wapumbavu kama ww na kidigr cha india unajifanya unajua kila kitu .nyambafu.
Naibu katibu mkuu wa CCM na mbunge wa jimbo la Iramba magharibi ameshiriki kikamilifu kwenye harambee ya ujenzi wa kanisa wilaya ya singida Vijijini,kata ya Kijota Usharika wa Mijuhu jimbo la Mashariki Dayosisi ya kati KKKT.
Mbunge huyo amefanikisha upatikanaji wa Tsh.Milioni 19 na laki tisa na themanini.Pia amefakisha upatikanaji wa viti 500 vya plastic kama hatua ya awali katika kufanikisha ujenzi wa kanisa hilo.
Ikumbukwe Mbunge huyo anayevuma kwenye medani za siasa yawezekana kuliko mbunge yeyote kwa sasa hapa nchini,yupo jimboni kwake kukagua na kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo.Jana alianza kwa kufanya vikao vya ndani na madiwani na viongozi mbalimbali wa chama na serikali.
Pia siku ya jana alitumia kuhamasisha michezo jimboni kwake na wilaya mpya ya Mkalama ambapo Mbunge huyo alishiriki kucheza mechi ya mpira wa miguu akiwa upande wa madiwani.
Kwenye harambee ya leo mbunge huyo Mh.Mwigulu Lameck nchemba madelu alitumia nafasi kuongea na washarika na wananchi wa kata ya kijota,kijiji cha Ikuwi kuwaomba kuachana na tabia ya kulishwa maneno na wanasiasa na viongozi mbalimbali kuhusu serikali yao eti haifanyi kazi.
Amesisitiza kuwa endapo wananchi na viongozi wa vyama vya siasa wangemrudia mungu,wangejikita kusaidia ujenzi wa nyumba za ibada,kushiriki kwenye huduma za kiroho leo hii Tanzania tusingekuwa na aina hii ya viongozi wa vyama vya siasa hasa upinzani wenye uroho wa madaraka,wanaomwaga damu za watanzania ili tu wapate madaraka ndani ya nchi hii.
Mh.Mwigulu nchemba amekwenda mbali zaidi kwa kulaani vikali kauli ya kiongozi wa CHADEMA Dr.slaa yakuwambia viongozi wa dini waache kuombea amani ya nchi.Amesema viongozi kama hao ni wakupuuzwa kabisa kabisa,na niwazi Dr.slaa na chama chake hana nia njema kwa nchi yetu.Ni kwasababu aliachana na misingi ya dini na kiroho ndio maana uwezo wake wa kufikiri kuhusu amani ya nchi ni hafifu kupita kiasi.
KESHO Mh.Mwigulu Nchemba ataendelea na kazi ya kuzungukia miradi ya maendeleo hususani barabara ndani ya jimbo lake.
ASANTE.
rat race
Hueleweki mkuu jipange upya.Soma habari kwanza,unahama kwenye topic ya Mh.
MSALIMIE josephine Mshumbusi shemeji yako.
....ha ha ha ha 4 kwa nunge!!!Mwigulu anwapa kutolala chadema kwa sasa wanatamani kumuuwa anavuma kweli kwa sasa hapa nchini ni mbunge bora na imara.
Kwani we ben wakati unamwinda zito kumpa sumu hukujua kuwa unahatarisha amani ya taifa.rat race
.......nasikia jimbo liko wazi!!!!Ni mpuuzi zaidi yule anayesoma upuuzi na kuujibu upuuzi.