Mwigulu Nchemba achomoza urais 2015

Mwigulu Nchemba achomoza urais 2015

i am ok. naona kuna watoto wa Division 5 wengi humu wanakuja kujaza server tu na habari za kijinga. wakipewa 5000 basi nao wanakuja kuleta thread za kipuuzi humu ndani.
 
time frame imehusika kumshusha grade..kachelewa sana kujiweka upande wa haki...

Teh teh teh sijawahi ona mbulumundu mshamba na limbukeni Kama huyo....

Miamba na madaraja yote kajichora yeye tu.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Mbunge Jaku Ayoub amesema Mwigulu muda si mrefu utakuwa mkuu wa Nchi.

Jaku Ayoub ni Mbunge kutoka baraza la wawakilishi, ameyasema leo kipindi cha maswali na majibu Bungeni baada ya Naibu waziri wa fedha Mwigulu Nchemba kujibu swali lake la msingi.

My take: CCM kuweni makini na huyu Kijana.

Ukuu wa nchi umekuwa mwepesi sana
 
Taifa hili lilipofikia linahitaji a strong leader like Mwigulu kutuvusha katika mkwamo huu tulionao Sana,tukiacha siasa za chuki,Mwigulu katika muda mfupi Sana aliokaa katika wizara ya fedha amefanya Mabadiriko mkubwa Sana.
 
54c38c80-ad2e-11e4-b6fa-7da8248e3954_Ashley-Graham.jpg

Mkuu Mwanamalundi heshima kitu cha bure,kuna viongozi,mama zetu na baba zetu wapi humu.Rudisha akili
 
Mkuu Mwanamalundi heshima kitu cha bure,kuna viongozi,mama zetu na baba zetu wapi humu.Rudisha akili

Unaishi sayari ya Mars? U-miss Tanzania hadi watoto wa marais na wabunge wanaugombania na baba na mama zao wako tayari kusaidia uchakachuzi ili waende kadamnasi kuonesha miili yao!!!!!!!!!!!!!!!
 
Unaishi sayari ya Mars? U-miss Tanzania hadi watoto wa marais na wabunge wanaugombania na baba na mama zao wako tayari kusaidia uchakachuzi ili waende kadamnasi kuonesha miili yao!!!!!!!!!!!!!!!

Ndio nini mkuu acha povu
 
Back
Top Bottom