Mwigulu Nchemba achomoza urais 2015

Mwigulu Nchemba achomoza urais 2015

Wewe bila jk ungekuwa unakula na kwenda toi kweli muulize mzazi wako mmoja anajua umhimu wa jk siyo wewe unakula hata hujui vimetoka wapi.

Jaribu kutofautisha kati ya JULIUS KAMBARAGE na huyo JK unayemfikiria
 
kwi kwi kwi ...mbavu zangu jamani... siku hizi hata wagonjwa wa akili nao wanataka kuwa Rais ili wakazurure duniani ... Membe amezidi kuwadanganya kuwa Rais anatakiwa awe mzururaji na si mchapakazi!!! Watupe Takwimu za Rais mwenye kutawala nchi nyingi dunia kiuchumi (USA) takwimu zake za kusafiri Vs Rais wetu kwa mwaka... Kama Nchemba ameota ndoto za Urais basi machizi wote hii ni zamu yao ... all the best ...
 
Kweli Tanzania ni sawa sawa na kichwa cha mwendawazimu, hata Mwigulu naye anataka ajifunzie Urais! Jamani tuikomboe nchi hii, inateketea kwa kasi ya ajabu! Urais hauna thamani kiasi hiki, mpaka mtu useless kama Mwigulu aote kuwa anaweza kuwa Rais wetu!! Tumekuwa wajinga kiasi hicho? Ccm kweli wametudharau sisi wananchi ndiyo maana hata maoni yetu kwa ajili ya katiba mpya wameyadharau!!
 
Tazama Tanzania.....gazeti la propaganda ndani ya CCM ifikapo kipindi cha kampeni, back in 2005 lilitumika sana na wanamtandao wa JK/Lowasa/Rostam kuwavuruga na kuwachafua anti-mtandao inc Sumaye, Salim etc.

Nadhani limeanza tena kampeni.
 
Wewe bila jk ungekuwa unakula na kwenda toi kweli muulize mzazi wako mmoja anajua umhimu wa jk siyo wewe unakula hata hujui vimetoka wapi.


Kumbe kwenu JK asipoenda Ulaya Toi wanaisikia kwenye Redio au kuichungulia kwa majirani !
Acheni kujidhalilisha ! Kama huwezi kufanya kazi hata Ushoga nao siku hizi ni Kazi-Cameroon na Obama wanaupigia chapuo! Omba ukimbizi wa aina hiyo!


SAFARI za rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005 ...

Rais Jakaya Kikwete anawasili Marekani kwa ziara ya kiserikali itakayo mchukua hadi Canada na tarehe 26/09/2013 atahudhuri mkutano wa Umoja wa Mataifa jijini New York,,


UPDATES

Tarehe 24/9/2013

SAFARI YA 358


Rais anawasili mjini To
Last edited by Yericko Nyerere; 3rd November 2013 at 09:34.​
 
Tema mate na ule mkutano wa mwanza ilikuwa kwaajili ya kusafisha njia na wewe uliplay part kubwa tu.hii story ya kwenye gazeti imetengenezwa kimkakati.Hao wafugaji nao wako kimkakati Hivi Karibu tutawasikia wakitoa tamko yote ni kimkakati ila mwisho wa siku mbichi na mbivu zitajulikana
 
Bora uongeze bidii za kutema mate lakini huna sifa hata moja ya kuingia Ikulu, kama alivyo Kikwete.
 
Mwaka huu watatoana roho. Maana kila anayeutaka urais anakuja na gia ya wananchi wanamuhitaji. Labda hao diaspora lakini wengine hatumuhitaji hata kwenye huo ubunge
 
huyu jamaa hata mimi naona kama vile anafaa kwa mbali kuliko yule mnyoa upara kwa mujibu wa mokiwa! ila pia naona kama vile muda wake bado.
 
Mwigulu kauli anazotoa ni uchanga wa siasa.siyo presidential material hata kidogo. Ndani ya chama bado mchanga mchonganishi na mbeya amejitenga na sekretariati ya chama. Ana tamaa haijawahi kutokea , mchanga kisiasa hatoshi hata kidogo hilo jimbo kurudi ni bahati nasibu.
Kimsingi hajatulia, mchanga kisiasa na tangu aingie hazina amekuwa fisadi mkubwa, kasaidia jamaa kulipwa malipo kahongwa basi tangu apokee rushwa akaanza kununua wajumbe mkutano mkuu mara kalipia mkutano live mwanza sh 50m chama chake hakijui.
 
Taarifa zilizopo jamaa wanafuatilia na tayari imevuja kampuni aliyosaidia kulipwa ,kiasi alichopewa cha rushwa na fedha alizogawa kwa wajumbe kwa majina,mahali na kiasi.wajumbe noma walimrekodi
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Mbunge Jaku Ayoub amesema Mwigulu muda si mrefu utakuwa mkuu wa Nchi.

Jaku Ayoub ni Mbunge kutoka baraza la wawakilishi, ameyasema leo kipindi cha maswali na majibu Bungeni baada ya Naibu waziri wa fedha Mwigulu Nchemba kujibu swali lake la msingi.

My take: CCM kuweni makini na huyu Kijana.
 
Alitafuta tusi zuri linalomfaa Mwigulu akaona hilo ndio sahihi na kwa kupenda sifa, Mwigulu akajikuta ana-smile pamoja na kuwa katukanwa.
 
Huu ni utabiri hatari sana,huyu gaidi amelifanyia nn taifa hadi atabiriwe ukuu wa nchi? Mwigulu kashausoma mchezo kuwa ccm iko hatarini kung'olewa madarakani ndio maana amekuwa mpole,ush,nz wake wa kuleta habari za kij.nga ameona itamgharimu hapo baadae.
Huyu ni gaidi,hafai hata kidogo,anafaa tu kwa ndg JK NDIO MAANA KAMTEUA KUWA NAIBU WAZIRI WA FEDHA.
 
54fcec00-ad2e-11e4-973f-b5b95c248a15_Ashley-Graham-Curves-In-Bikinis.jpg
 
Back
Top Bottom