MAPUMA MIYOGA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,792
- 2,362
Mh. Waziri,
Naiona Iramba ikiwa imepoa sana katika harakati za maendeleo! katika kila sekta pamepoa. Tumefanya vizuri katika madawati, lakini bado shule zetu si shindani katika nchi hii. majengo ya shule zetu ni duni sana na hata elimu inayopatikana humo sio ya kiwango ambacho tunaweza kushindana katika elimu nchini!
Bado wananchi wanachangia maji na mifugo-ni vema hili likafanyiwa kazi. Najua uko bize sana na majukumu ya kitaifa, lakini bado unaweza kupata muda kidogo ukawaita wanairamba na wadau wengine tukashirikiana kuileta Iramba pamoja.
Naamini kwa nafasi yako ya ubunge, unajua changamoto zinazoikabili Iramba, ni muda tu na mipango na initiation zinahitajika ili kuweza kuiinua Iramba.
Ni hayo tu