Mwigulu: Naombwa nigombee urais 2015

Mwigulu: Naombwa nigombee urais 2015

Huyu muuaji Mwigulu ni damu ya Dr Mvungi ndiyo inaendelea kumtafuna, sio bure!
 
Sasa mbona CCM haichezi kitimu sio watajeruhiana sana kiasi kwamba mpaka madonda yapone watakuwa wamejiumiza sana

Ni chama kubwa haitegemei majina ya wanachama wawili watatu kama upinzani ulivyo. Kila mwanachama yupo huru kufanya siasa awezavyo ili asivunje katiba ya chama.
 
Dr Slaa ndiye rais wa awamu ya tano, wengine wote ni makapi tu!
 
kwanza huna sifa ya kuwa Rais na pili urais ni kazi ambayo inabidi uamue kutoka moyoni wewe na familia kuwa unaitaka kwa asilimia 300% na siyo watu kukufuata na kukuomba that means watu wanakusukumia kwenye kazi ambayo ulikuwa huna mpango nayo.
 
Makundi gan hayo yamtake awe rais? Mbona kila mtu ccm anajipgia debe? Hakuna cha Mwigulu wala Makamba anayefaa kuwa rais wa nchii hii!

Umeona eh!Wote hawa ni wapiga madeal hawana cha maana.Kama wangekuwa WAZALENDO wangeisha achia ngazi kupinga ubadhirifu wa mali za umma zinazofanywa na viongozi wa CCM kwa nafasi mbalimbali.Pili wangesimamia kidete kutoendelea kwa mazingaombwe ya KATIBA ya Mafisadi.

Na mwisho bado watoto sana ,hawana ubavu wa kupingana na MAHARAMIA ndani ya CCM kwa sasa waendelee kuwa MARAIS wa familia zao tu.

Hawa ndiyo wale wale Mheshimiwa sana DHAIFU alivyoutaka URAIS kwa mbinde leo tupo kama hatuna Rais.Rais huyu amekuwa kama MTALII,hajui hata wananchi wake wanaendeshaje maisha yao.Yupo busy na kuiba mali za umma,madawa ya kulevya ndiyo yamekuwa chanzo cha mapato ya baadhi ya viongozi wetu,amelala usingizi,anasingizia TEZI DUME,hatuhitaji tena aina hii ya viongozi ambao wanataka CV tu hawajui nini wanataka kuifanyia Tanzania.

Kwa Mwigulu ndiyo kabisa,labda viongozi wa Dini wa Nigeria ndiyo wanamhitaji kuwa Rais wao.Hatuhitaji MUUAJI wala mtu mwenye chuki na matusi.Akwawe tu RAIS wa TB Joshua na Familia yake.
 
Kiongozi siwatishii. Ninawapa tahadhari ili wanaposhaurian ujinga, wajue nini kipo mbele yao. Wangekuwa wanajali amani wasingeendeleza umafia huu wa wazi kama walivyofanya serikali za mitaa. Hawa wanachokifanya ni matusi kwa wantanzania na kuwaibia.

Muda wao umekwisha. Wakubali kuondolewa wakiwa hai (kwa kukubali matokeo sahihi ya chaguzi), ama waondolewe wakiwa wafu!. (Kwa kulazimisha utawala kimafia). Hakuna lugha laini wala mbadala. Huu ndio ukweli kiongozi.

Mimi hata wakiniua, ikiwa maccm yatakuwa hayapo, wala sijuti. wanangu na wajukuu watakuwa wanaishi ndani ya nchi yao.

Chama hiki kina viongozi wazuri na wazalendo weng tu. Jeshi letu lipo kulinda amani isipotee. Kwahiyo ikiwa kwamba CCM itakua imechokwa bila shaka wazalendo hawa hawatopenda kuipoteza amani ya nchi yao kwasababu ya madaraka mkuu. Ondoa shaka hilo unalofikiria halitoweza tokea. Kama taifa tumejipanga kulinda amani hii iliopatikana kwa gharama kubwa isipotee.
 
Hiki chama kwa mara ya kwanza nimeona jinsi kinavyoendelea kuzama, kila mwanachama akilala anaota yuko ikulu, sijui wana wanaakili gani hawa watu, anyway wacha wakazane kuweweseka, kuja kuamka sie tushafanya maamuzi.
 
Tanzania watu wanaidharau sana...eti maskofu wameniomba..ujinga huu
 
Kwahiyo Mkuu CHAMVIGA wote waroho wa madaraka?

Si kila apendae kuwa kiongozi ni mroho wa madaraka, inapotokea unautafuta uongozi kwa gharama yeyote hata ikibidi kuua kama Freeman A. Mbowe au kusaliti hata kazi za Mungu kama Dr.W.Slaa huo ndio uroho wa madaraka.
 
Last edited by a moderator:
Makundi kwa makundi, wakubwa kwa watoto wamenifuata Kiraracha wanataka niwe rais wao - Mrema.
 
Angekua raisi wao wenyewe walio muomba ili awe raisi wa muunganiko wao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom