Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,570
View attachment 217315Hivi gaidi akiwa ikulu si kuna siku atajilipua tu
View attachment 217315Hivi gaidi akiwa ikulu si kuna siku atajilipua tu
Kikwete ameshusha hadhi ya urais, mpaka mwehu mwigulu mchemba naye anautaka urais.Labda akawe rais wa wanyiramba...nyambafff kabisa
Acha maneno ya kibaguzi, acha kabila na dini. Hafai kokote kuwa RAIS labda kwenye familia yake. Kwani Iramba si sehemu ya Tanzania? Kwani wanyiramba sio sehemu ya watanzania?