Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Mwigulu ajivunia kutimiza ndoto ya muda mrefu kusaini noti ya Tanzania
"Kipekee nimshukuru Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kuniamini kutumikia Taifa kwa nafasi ya Waziri wa Fedha tangu alipoingia madarakani. Huu ni uthibitisho wa imani kubwa aliyokuwa nayo, na nimeona faraja kufanya kazi chini ya kiongozi mwenye maono makubwa ya kuiletea nchi maendeleo."
"Mheshimiwa Rais, sio tu amenipa fahari kufanya kazi chini yake, bali ameiandika historia ya kipekee kwa Wanyarimba, Wasukuma na Wanyaturu wa Singida kwa kuwa mimi ni Mnyiramba wa kwanza kusaini kwenye noti."
Soma, Pia: Hii ndio sahihi ya Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kwenye noti mpya zilizoanza kutumika Februari