Mwigulu na matusi kwenye kampeni!

Mwigulu na matusi kwenye kampeni!

Katika Hali Inayoashiria Kuishiwa Hoja Mwigulu Nchemba Mara Nyingi Amekua Kiuara Wa Kutoa Matusi Kwenye Mikutanao Ya Kampeni Za CCM Kumtukana Mgombea Wa UKAWA Mh Lowassa Kila Kona.

Mwigulu Huyu Aliyetaka Kugombea Urais Kwa Matusi Haya Tumwite Kiongozi Wa Aina Gani? Hivi Siasa Ndio Imfanye Amtukane Mwenzake Kiasi Hiki Ambaye Naye Ana Familia Na Ndugu Wengine Wanaomfuatili?

Hivi Mwigulu Hana Familia Ambapo Yeye Ndiye Kiongozi Wake Kimaadili Nyumbani ? Ni Wapi Imesikika Kokote Lowassa Amemtukana Mwigulu Au Yeyote Yule Ndani Ya CCM?

Mwigulu Atambue Kua Hii Nchi Ni Yetu Sote Na Mwisho Wa Matusi Yake Uko Karibu Sana.

Matusi gani?kusema Lowassa ana historia ya kupiga deal za kifisadi ni matusi?
 
Nilishangaa sana mwigulu kuchukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea urais hakuwahi kujiandaa kugombea urais na ndo haya yakina magufuli asie na mia mbili apige mbili, pinda na wapigwe tu kauli na matendo kama haya baadae hutumika kumwondolea sifa unapotaka uongozi. Matusi na maneno yasiyo na staha humuondolea mtu heshima
 
Itabid tuseme msemo mmoja wa marekani ** Haijalishi Kama Ataleta Maendeleo au la! Tutamchagua Obama Kuuonyesha Ulimwengu Kuwa Marekani Ni ya Kila Mtu.*** na sisi tunasema*** Haijalish Kama Ataleta Maendeleo au la! Tutamchagua LOWASA Kutoka UKAWA Kuuonyesha Ulimwengu Kuwa Tanzania Siyo ya ccm Pekee. Tuma ujumbe huu kwa wadau wasiopungua hamsini ili kuleta mabadiliko ya kweli. Lowasa oyeeeeee. Samahani kama utakwazika Lkn Tunaonesha Uzalendo Kwa Taifa Letu LA miaka 54 ya Uhuru likipitwa Na Kenya iliyochelewa kupata Uhuru kimiundo mbinu, elimu, utalii, kilimo, Katiba Mpya, Na hata Rwanda iliyotoka vitani inatupita sisi tuliojaliwa rasilimali adimu duniani.
 
Tuwahurumie tu wenzetu wa ccm, hali ni mbaya sana kwao.. Mi hayo matusi hata sishangai wamebanwa mno mpaka kuchanganyikiwa
 
du yani mpaka watu wanajiuliza kwann ccm wanamfanyia hivyo its shame halafu mzee katulia anafanya kampeni zake za kistaarabu tu.
 
Itabid tuseme msemo mmoja wa marekani ** Haijalishi Kama Ataleta Maendeleo au la! Tutamchagua Obama Kuuonyesha Ulimwengu Kuwa Marekani Ni ya Kila Mtu.*** na sisi tunasema*** Haijalish Kama Ataleta Maendeleo au la! Tutamchagua LOWASA Kutoka UKAWA Kuuonyesha Ulimwengu Kuwa Tanzania Siyo ya ccm Pekee. Tuma ujumbe huu kwa wadau wasiopungua hamsini ili kuleta mabadiliko ya kweli. Lowasa oyeeeeee. Samahani kama utakwazika Lkn Tunaonesha Uzalendo Kwa Taifa Letu LA miaka 54 ya Uhuru likipitwa Na Kenya iliyochelewa kupata Uhuru kimiundo mbinu, elimu, utalii, kilimo, Katiba Mpya, Na hata Rwanda iliyotoka vitani inatupita sisi tuliojaliwa rasilimali adimu duniani.

Usikariri usichokijua,hakuna msemo wa Kimarekani wa aina hiyo, walimchagua Obama sio kwa rangi ya ngozi yake bali sababu waliamini message yake ya mabadiliko,CHANGE WE CAN BELIEVE IN,wakati wote alikuwa anasisitiza wamuamini kwa sababu ya judgement yake ambayo aliamini toka mwanzo ilikuwa sahihi kwa mfano wa kukataa kwake vita ya Iraq, kutaka huduma ya afya kwa wote, n.k.usikariri kama kasuku na kuimba usichokijua, mabadiliko ni juu ya masuala(issues) sio majina ya Rais wala chama chake.
 
Back
Top Bottom