Mwigulu na matusi kwenye kampeni!

Mwigulu na matusi kwenye kampeni!

Ndicho kilichompa jina...

Hivi yeye akitukanwa anadhani hii familia yake itajisikiaje?
ImageUploadedByJamiiForums1442053441.441751.jpg
 
Mwigulu kuna kipindi fahamu zilimrudia akawa mtu mstaarabu sana. Sijui nini kimempata tena.
 
Historia inaonesha watu wote waliofanikiwa katika mambo mbalimbali duniani hawakufanikiwa kirahisi,walipingwa,walibezwa,walishutumiwa,walitukanwa,walidharauliwa,walitoswa na kuteswa,walionekana hawana maana na hata kutengwa na jamii zao,...Mfano,YESU pamoja na dhamira yake njema lakini alitukanwa,alibezwa,alihukumiwa,alikanwa,alipigwa na kuuwawa msalabani.Barrack Obama alipata shida ya kero lukuki kabla ya kuingia Ikulu. Mao Tse Tung alikumbana na vituko vya aina yake lakini sasa anaitwa baba wa Taifa la China. EDWARD NGOYAI LOWASSA ni dhahabu,lazima ipite kwenye moto ili iwe dhahabu yenye thamani,kuunganisha watu,kujenga uchumi na alama ya umoja na amani ya Nchi!!
 
Hakuna tamko mbaya aliloongea sema watu mmekuwa mkitafakri tofauti tu,,hakuna namna nyingine magufuli ndo rais wa tanzania tuitakayo
 
Hiyo ndo CCM,waliomo humo hufurahia dharau,kejeli,matusi na hawaoni mateso,manyanyaso na uonevu wanaotendewa wao wenyewe au hata ndugu zao.wanajali matumbo yao yashibe,hata kama chakula hicho watasimangiwa.
 
Katika Hali Inayoashiria Kuishiwa Hoja Mwigulu Nchemba Mara Nyingi Amekua Kiuara Wa Kutoa Matusi Kwenye Mikutanao Ya Kampeni Za CCM Kumtukana Mgombea Wa UKAWA Mh Lowassa Kila Kona.

Mwigulu Huyu Aliyetaka Kugombea Urais Kwa Matusi Haya Tumwite Kiongozi Wa Aina Gani? Hivi Siasa Ndio Imfanye Amtukane Mwenzake Kiasi Hiki Ambaye Naye Ana Familia Na Ndugu Wengine Wanaomfuatili?

Hivi Mwigulu Hana Familia Ambapo Yeye Ndiye Kiongozi Wake Kimaadili Nyumbani ? Ni Wapi Imesikika Kokote Lowassa Amemtukana Mwigulu Au Yeyote Yule Ndani Ya CCM?

Mwigulu Atambue Kua Hii Nchi Ni Yetu Sote Na Mwisho Wa Matusi Yake Uko Karibu Sana.

Hivi hii sheria ya mirandao ukimtukana mtu kwa mdomo kama mwigulu hii sheria aitafuni watu wa nanna hiyo?
 
ww mdada kaa kimya, wayajua matusi ww. Sasa ww fisadi unamshabikia inaonekana ni mnufaika wa ufisadi wa luwasa ww

Katika Hali Inayoashiria Kuishiwa Hoja Mwigulu Nchemba Mara Nyingi Amekua Kiuara Wa Kutoa Matusi Kwenye Mikutanao Ya Kampeni Za CCM Kumtukana Mgombea Wa UKAWA Mh Lowassa Kila Kona.

Mwigulu Huyu Aliyetaka Kugombea Urais Kwa Matusi Haya Tumwite Kiongozi Wa Aina Gani? Hivi Siasa Ndio Imfanye Amtukane Mwenzake Kiasi Hiki Ambaye Naye Ana Familia Na Ndugu Wengine Wanaomfuatili?

Hivi Mwigulu Hana Familia Ambapo Yeye Ndiye Kiongozi Wake Kimaadili Nyumbani ? Ni Wapi Imesikika Kokote Lowassa Amemtukana Mwigulu Au Yeyote Yule Ndani Ya CCM?

Mwigulu Atambue Kua Hii Nchi Ni Yetu Sote Na Mwisho Wa Matusi Yake Uko Karibu Sana.
 
Katika Hali Inayoashiria Kuishiwa Hoja Mwigulu Nchemba Mara Nyingi Amekua Kiuara Wa Kutoa Matusi Kwenye Mikutanao Ya Kampeni Za CCM Kumtukana Mgombea Wa UKAWA Mh Lowassa Kila Kona.

Mwigulu Huyu Aliyetaka Kugombea Urais Kwa Matusi Haya Tumwite Kiongozi Wa Aina Gani? Hivi Siasa Ndio Imfanye Amtukane Mwenzake Kiasi Hiki Ambaye Naye Ana Familia Na Ndugu Wengine Wanaomfuatili?

Hivi Mwigulu Hana Familia Ambapo Yeye Ndiye Kiongozi Wake Kimaadili Nyumbani ? Ni Wapi Imesikika Kokote Lowassa Amemtukana Mwigulu Au Yeyote Yule Ndani Ya CCM?

Mwigulu Atambue Kua Hii Nchi Ni Yetu Sote Na Mwisho Wa Matusi Yake Uko Karibu Sana.

Kusema kwamba mgombea wa Ukawa ni magonjwa hawezi hata kushika Microphone au kusimamia kwa zaidi ya dakika kumi ni matusi
 
Imagine, huyo ndio NAIBU WAZIRI...meaning kwa CCM huyo Mwigulu ndio role model wao, kwa heshima, uongozi na kuonekana ni kiongozi kwao ma CCM...!! Imagine...!!!

Amighty God, we pray, help us to DESTROY this lost society of CCM...!!! We pray... God help us...!!! God do something...!!! Now...!!! God you see more than we do... Destroy this CCM..!!!
 
Anafikiri matusi yatambeba kama yule aliyepata u-dc, halafu katika hali ya kawaida mbaya wako ukimsema vibaya hadharani ndo unamjenga. hajui hili maskini mwigulu!
 
Watanzania wanafurahia matusi ya chama fulani kwa maana yanaongeza idadi ya kura za huruma kwa anayetukanwa yote yatajulikana 25/10
 
Back
Top Bottom