Mwigulu mnchemba anampango wa kuja arusha

Elineema J Mosi

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2013
Posts
808
Reaction score
148
ndugu
zangu wana Jf Nasikia Mwigulu yupo Hapo Manyara na anampango wa kuja A
Town. Naomba kumwambia kuwa akija basi nguo za kijan azivulie huko huko
alafu atafute mwenyej amwambia vaz la A City ni lipi? Huku watu wako
macho kweli wa kuja utamjua tu. Mimi natoa Buku 5 za nguo zake akiwa A city yaan combat za CHADEMA wakuu alafu najitolea kumpelekea,tusiseme sana atapiga norinda na kurudi zake Iramba.
 
Huyo kilazana anakuja kumtukana nani maana ana domo kuubwa chafu kama dampo
 
ndugu zangu wana Jf Nasikia Mwigulu yupo Hapo Manyara na anampango wa kuja A Town. Naomba kumwambia kuwa akija basi nguo za kijan azivulie huko huko alafu atafute mwenyej amwambia vaz la A City ni lipi? Huku watu wako macho kweli wa kuja utamjua tu.

Hajakoma tu toka uchaguzi wa Arumeru?
 
Mpigeni mkiweza

Hatumpigi ss ni watu wastaarabu sana bali aje kama Mgeni mwenye heshima akija na nguo zao zile lazima watu watamshangaa baalaaa. Ikiwezekana watamnunulia nyingine avae. Zile ni aibuu sana kwa A City
 
ndugu zangu wana jf nasikia mwigulu yupo hapo manyara na anampango wa kuja a town. Naomba kumwambia kuwa akija basi nguo za kijan azivulie huko huko alafu atafute mwenyej amwambia vaz la a city ni lipi? Huku watu wako macho kweli wa kuja utamjua tu.

anakuja kutalii
 
Anakuja kuombewa ili aache kufumaniwa na wake za watu
 
Hatumpigi ss ni watu wastaarabu sana bali aje kama Mgeni mwenye heshima akija na nguo zao zile lazima watu watamshangaa baalaaa. Ikiwezekana watamnunulia nyingine avae. Zile ni aibuu sana kwa A City

Acheni mambo ya huruma, ni kumpa kichapo tu. yeye si anaona anapenda siasa za maji taka?
 
Huyo kilazana anakuja kumtukana nani maana ana domo kuubwa chafu kama dampo

Mmmh hapa napita jaman. Kwanza anamajeraha ya Meru hivyo sidhani kama atatukana kabisa,A City anaijia na Mtela na Juliana? Huyu mgeni hapa wadau ngoja tuone!
 
Acheni mambo ya huruma, ni kumpa kichapo tu. yeye si anaona anapenda siasa za maji taka?

Kupigwa hapana mkuu, ila tufanye mchango tumnunulie nguo za Special za A Town hizo za kijan aweke sandukuni
 
mwigulu anawanyima raha kiasi hiki,mtapasuka msamba poleni.
 
mkuu kwani yeye ndo aliitoa hiyo mashine? Ilishatumika wapi mkuu? Jaman huku kuna habari we acha tu.

mwenye siasa za kuuwa watu ni chadema ikiongozwa na lema pia chadema wanakitengo cha sumu na makada wake hutembea nazo hadi bar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…