fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,598
- 4,472
Acha kutumia bange,nani Chadema hapaaa.Chadema mmeacha madai ya katiba mpya sasa mmehamia kwenye tozo za kodi ya kizalendo, kamwe hamto fanikiwa mnacho kitaka.
Najua mtanikumbuka sio kwa mabaya bali kwa mazuri kwa sababu nimeji sacrifaiz kwa ajili ya Watanzania ~ Alisikika shujaa mmojaYajayo yanasikitisha Sana, naona future ya Tanzania ikizidi kuwa Giza zaidi. Hakika tutalimia meno huko tuendako
Ungewaacha wenye akili wajadili.Chadema mmeacha madai ya katiba mpya sasa mmehamia kwenye tozo za kodi ya kizalendo, kamwe hamto fanikiwa mnacho kitaka.
Hivi kuna mtu ambaye ana mbunge kwenye hilo bunge la Serikali?Ebu tulia, kwani budget ni Dr. Mwigulu anapitisha, yeye anatoa proposals tu, Bunge ndio linapitisha budget, akiwemo mbunge wako, muulize mbunge wako, sbb zilizopelekea alikubali budget kuipitisha. Sio Mwigulu, umeelewa? Mwigulu ni mtoa hoja tu, waliokubaliana na hoja kupita waulize, mpigie mbunge wako
Na tuendako tutamkumbuka tu aisee maana dah this is too much. Shida viongoz hujiamulia bila kushirikisha wananchi ili ka ni kula Ile pande zote na sio pande ya Raia tuNajua mtanikumbuka sio kwa mabaya bali kwa mazuri kwa sababu nimeji sacrifaiz kwa ajili ya Watanzania ~ Alisikika shujaa mmoja