Mwigulu hili hapana

Ila niliona kuna polisi pale wenye sare!
Swali kwanini hawakumkamata yule bwana aliyetoa bastola kama kweli hafahamiki?
 
Daaaah ama kweli watu mnajua kung'amua. Hapo unadhihirisha utofauti wa fb na jf gt.
.Wataelewa tu.
 
dada duu

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini usiwaze kivingine kuwa ile inaweza kuwa ni dramama? Ile behavior ya anayedaiwa kuwa ni askari sio ya official wa Tz.
 
Wanatuona sote ni mburura! I wish I could be sniper
 
Kwa utawala huu, ukiwa waziri lazima uchague lipi la kusema na jinsi ya kulisema. Ukiamua kufanya kama Nape utaishia "kupangiwa kazi nyingine"!!!
Ndiyo maana wenye akili zao wanatakiwa kujiuzulu lakini kwa woga wa wakio wengi wao wameufyata. This country is getting into a very sorry state!
 
Umeona mteuliwa wa sharia alivyoshukuru kuteuliwa mpaka karibunu atoe chozi?


Mkuu ile ishu inatakiwa uzi maalumu. Ningekuwa na hyo clip ningeianzishia Uzi.

Nilibaki kinywa wazi yaani siyo kusujudi kule utadhani alikuwa mbele ya mfalme. Halafu kama ulikuwa unamwangalia kila alichokuwa anaongea mkulu alikuwa ananod kama kukubaliana nacho.

Aisee yule tusitarajiwe lolote la maana Kutoka kwa yule le professeri. TLS inabidi wasimame kidete la sivyo bwana huyu mpya ataanza nao kwa maagizo ya mkulu.
 


Yule ni Tundu Lisu ndiyo aliyetoa bastola!
 
Ajabu kuwa wale askari ni PSU askari maalum wa Rais yaani kazi yao nyingine sasa wameingia kufanya kazi nyingine, askari walioingia clouds na Daudi ni hao hao PSU walinzi wa Rais, yaani maajabu kweli Rais kageuka kuwakuta muhalifu ndani ya nchi yake, walinzi aliopewa kumlinda sana ndio wamekuwa wahalifu mitaani kutishia watu, nchi ya maajabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…