Mwigulu: Hakutakuwepo na mchezo wala mzaha kwa anayecheza na fedha za umma

Mwigulu: Hakutakuwepo na mchezo wala mzaha kwa anayecheza na fedha za umma

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, amesema hayo Machi 13, 2026 akiwa mkoani Katavi katika ziara ya kikazi, ambapo anatarajiwa kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kuzungumza na wananchi.

 
Mzee wa futuhi na vichekesho na Maigizo mtu mzalendo kama Khasimu majaliwa mlimletea zengwe kisa mzalendo nyie mmekuja na Maigizo ya uzalendo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom