Mwigulu atawaponza wengi!

Mzee Tupa Tupa, naamini wewe una imani sana na Mwenyekiti wako Taifa. Je ni kweli hayajuhi afanyayo Mwingulu? na Kama haya bariki kweli anashindwa kumkemea Mwingulu au yeye anaona ndo kujenga chama?
 
Mkuu unajitekenya na kucheka wewe mwenyewe unachokisema ni maoni yako si ya watu wote.
 
Mwampamba amekuwa robot la mwigulu. Anaamriwa afanye ki2 fulani naye anafanya kweli,nahisi hata 0713 akiambiwa na mwigulu atakuwa tayari kumegea angalau mini kabang
Hahaha hahaha hahaha hahaha
 
Ni kweli Mkuu. Mimi nimejitwika suala hilo. Tupo pamoja kuelekea kupata demokrasia ya kweli ya vyama vingi Tanzania

mkuu utanisamehe sana mana nimetokea kukuchukia kwa unafiki wako. Unajifanya mwerevu kumbe ni mwehu tu kama wehu wenzio wengine
 
Mzee Tupa Tupa, naamini wewe una imani sana na Mwenyekiti wako Taifa. Je ni kweli hayajuhi afanyayo Mwingulu? na Kama haya bariki kweli anashindwa kumkemea Mwingulu au yeye anaona ndo kujenga chama?
Mwigulu hamna alipokosea ila chadema kawabana sana ndiyo maana wanamuona ni thread na walishapewa maagizo toka viongozi wao kuwa lazima wahakikishe mwigulu anachafuka.
 

hivi mkuu ww ni jinsia ya ke au me? Mana inaonekana unampenda sana mwigulu kama ni ke akuoe. Ktk thred yako umemtaja mara 8. Angalia usijekuwa umelala huku unamuota ukamtaja kwa sauti utavunja ndoa,, mumeo atakuuliza huyo mwigulu ndio nani hutakuwa na jibu la maana.
 
Tanzania inwatu wa tofauti sana.
 
siasa sio vita. chadema ni chama cha siasa, ccm watumie watu makini wanao tumia mbinu hasa za kihoja na mijadala kudhofisha chadema, sio hizi za Mwigulu za kiuwaji, kujenga chuki, mipasho, kushizia watu,unafki kesi,kutumia jeshi la polis kudhofisha chadema
 
Mtu mzima unateswa na kijana mdogo kama mwammpamba kunaja gani ya kuwa mtu mzima sasa.
 
Nampongeza sana mwigulu jinsi anavyowachana hawa wamwagia watu tindikali, walisha watu sumu, wapanga mauwaji na wahubiri vita.. Go on mwigulu watanzania tupo nyuma yako
 
Mkuu naona umeamua kumpa ukweli jamaa akome umbea wake,sijawahi ona mtu mmbea kama huyu vuta-nkuvute.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…