Mwigulu anang'olewa unachama wa ccm leo.

KUZIMU

Member
Joined
Sep 9, 2022
Posts
6
Reaction score
48
Leo Kamati ya Maadili na Kamati kuu zinakutana kikao cha Dharura Zanzibar. Taarifa zilizopo Waziri Mkuu hatashiriki vikao hivyo huku zikiwepotaarifa vikao hivyo kuelekezwa vichukue uamuzi dhidi yake kufuatia kugomea maelekezo ya kikao cha Siri kilichomtaka AJIUZURU. Hivi ndivyo ilivyoanza kwa Nchimbi kuitishwa vikao bila yeye kuarufiwa. Hivi ndivyo ilivyofanyika kwa Nchimbi kujadiliwa na kufukuzwa bila yeye kuwepo, yetu masikio
 
Duuuuu hadiii litimiee yule wa Pangani...awe PM ? Yule huku na huku .....kama Chengerwaaa......Rais ni Mungu mtu kwa katiba ya Tz haki tenaaaqw
 
1791715086655.png
 
Leo Kamati ya Maadili na Kamati kuu zinakutana kikao cha Dharura Zanzibar. Taarifa zilizopo Waziri Mkuu hatashiriki vikao hivyo huku zikiwepotaarifa vikao hivyo kuelekezwa vichukue uamuzi dhidi yake kufuatia kugomea maelekezo ya kikao cha Siri kilichomtaka AJIUZURU. Hivi ndivyo ilivyoanza kwa Nchimbi kuitishwa vikao bila yeye kuarufiwa. Hivi ndivyo ilivyofanyika kwa Nchimbi kujadiliwa na kufukuzwa bila yeye kuwepo, yetu masikio
We kweli ni KUZIMU, uzushi wa kipumbavu km huo unakusaidia nini. Mwigulu afukuzwe kwasababu zipi, km ni uwaziri mkuu ni simple sana ni Rais kuvunja serikali wala siyo geni Mwinyi alishavunjaga baraza lake mara 2. Rais hawezi kumhofia PM kdg, utata ulikuwa kumwondoa makamu wake.
 
Back
Top Bottom