Anavuna alichopandaInaonekana kuna maelekezo maalum ya kumsadia Kitila Mkumbo kuwa Mbunge la Iramba Magharibi jimbo linaloshikiliwa hivi sasa na Mwigulu Nchemba.
Kwenye mizunguko yangu jimboni humo, jimbo mojawapo kati ya majimbo machache yaliyobakia kutumia fedha za vijiji kufanyia siasa za CCM, Mwigulu amebaki kupiganiwa na watu wachache dhidi ya kundi kubwa linaloonekana linapokea maelekezo toka ngazi za juu ndani ya chama hicho.
Kitila Mkumbo inaonekana anazidi kukaza kitanzi kitakachomuua kisiasa Mwigulu Nchemba kwenye jimbo analoliongoza hivi sasa
Ndio maana nasema historia na geography ya miaka Ile kuhusu Iramba ni batili. Kuna wahuni tu walikuwa na nia ovu wakaandika uongo. Hivi sasa hata chakula Kuna mikoa inahemea toka Iramba. Ukienda kwenye makazi yameonekana ni Bora mpaka ndani vijijini wakati Kuna wilaya nchi hii hata msosi bado hawapati wa kutosheleza familia zao na hata makazi bado duni mno sema Tu wako vizuri kwenye media hasa wanaokaa mijiniNimetembea maeneo mengi sana lakini Iramba wanajitahidi sana kwenye kujiletea maendeleo. Kwa mfano kwenye ujenzi wa nyumba na upangaji wa mji wa Kiomboi na baadhi ya vijiji. Ingawa kuna tatizo kubwa sana la maji na madaraja kwenye yale maeneo yenye mito ya msimu. Ila Mkalama wana Hali mbaya kwa kweli.
Tatizo la Iramba bado fedha za vijiji zinatumiwa kwa kazi za kisiasa za CCM.
Ni kweli kabisa. CCM inawatesa sana watendaji wa vijiji wa Iramba kwa kulazimisha fedha za vijiji kugharamia shughuli za chama chao kama vile safari za kutoka kwenye kata kwenda Kiomboi ama viongozi wa wilaya wanapotembelea vijijini fedha za vijiji hutumiwa kuwakirimu.Issue kubwa hapa ni matumizi mabaya ya pesa za maendeleo kuwekwa kwenye mambo ya chama ccm
Nadhani mbali na maji ya Ardhini lakini maji yanayopita kama kule Kidaru yakitegwa na kujengewa bwawa yanaweza kusaidia. Pale Iguguno kuna kila dalili kwamba pakichimbwa kisima kinaweza kupeleka maji sehemu kubwa sana ya Iramba.Kwa issue hata ya maji tu.
Sasa MTU kama kitila anataka ubunge lakini sijawahi hata kusikia akizungumza issue za maendeleo Iramba.Nadhani mbali na maji ya Ardhini lakini maji yanayopita kama kule Kidaru yakitegwa na kujengewa bwawa yanaweza kusaidia. Pale Iguguno kuna kila dalili kwamba pakichimbwa kisima kinawezekana kupeleka maji sehemu kubwa sana ya Iramba.
Maji ndiyo ingetakiwa iwe ajenda kwa wanaotaka Udiwani na Ubunge wa Jimbo la Iramba Magharibi kwenye uchaguzi wa mwaka 2020.
Kama unafanya ulinganisho kati ya Mwigulu na hawa wengine upo sahihi.Mwigulu ana kitu kinamkereketa moyoni kuhusu Iramba na najitahidi sana. Bado namuona MTU potential Kwa Iramba kuliko hao wasaka vyeo wapya.
Ukiangalia jesca kwa mfano na hata kitila, wamekuwa kwenye nyendo za kutaka ubunge lakini ni miaka mitatu sasa hata kupeleka vikitabu tu vikasaidia vijana katika shule za kata au hata bundle ya bati katika ujenzi wa shule za kata hawajawahi kuonekana.Kama unafanya ulinganisho kati ya Mwigulu na hawa wengine upo sahihi.
Lakini Kisana wana matatizo mawili makubwa.Kwanza wana viongozi wasio na mpangilio kwenye kufanya kazi zao. Wanapenda kuanzisha miradi mipya kabla ya zamani haijakamilika. Mimi mpita njia waliniambia nichangie 5000 kwa ajili ya madawati, nilipowahoji wao wanahitaji kiasi gani kukamilisha madawati wanayohitaji wakawa hawana jibu.Mfano pale kisana wanajenga mabweni japo hata madarasa bado hayajatimia, lakini hakuna aliyeona angalau ashiriki Kwa namna yeyote Ile.
Alitaka kuonesha kwamba nilichoandika nimetunga, ningemkalia kimya kuna watu wangehisi labda kweli nimetunga. Lakini MAPUMA MIYOGA anajua ninachoongea kwa kuwa kweli yeye ni wa Iramba Magharibi siyo kama DrLove69 aliyeleta ushabiki wa kisiasa.Unabishana na mtu anayetumia account fake?
Atakuwa anasema vice versaKamanda Kilewella utaacha lini hii tabia yako ya Uongo, Uzandiki na kupotosha Umma!? Yaani mpaka Aibu wanaona watoto wako!
Niko Ikungi kikazi. Mara 100 ungesema mkakati ni wa kumuondoa Tundu tunduni Ikungi.
Fuatilia mjadala uone ni kwa nini mwenzio alikimbia!
Nifuatilie mjadala upi?Fuatilia mjadala uone ni kwa nini mwenzio alikimbia!
Kwani wewe umechangia nini na kwenye mjadala upi?
Mkiambiwa ukweli ili mauche tabia zenu za kupotosha Umma inakuwa "Ushabiki wa Kisiasa"!? Ama kweli makamanda mmeishiwa hoja.Alitaka kuonesha kwamba nilichoandika nimetunga, ningemkalia kimya kuna watu wangehisi labda kweli nimetunga. Lakini MAPUMA MIYOGA anajua ninachoongea kwa kuwa kweli yeye ni wa Iramba Magharibi siyo kama DrLove69 aliyeleta ushabiki wa kisiasa.
Ni nani amekimbia!? Nina majukumu ya kutekeleza ili watoto wangu wapate Elimu na malezi bora kamanda. Huwa sishindi JF 24/7.Fuatilia mjadala uone ni kwa nini mwenzio alikimbia!
Sasa hivi wamegeuka watunga habari kama watunga Singeli. Kutwa wanatoa vibao vipya.