mtweve
Member
- Mar 28, 2009
- 96
- 8
mimi nadhani kwa siasa za kitanzania hamna mwanasiasa akasema yeye ni clean kwenye ngono. Kila mtu ni mchafu. Kutumia hoja ya ufsika sidhani kama ni nguvu kwenye siasa. Naamini wanasiasa wa kweli wenye kujua sayansi ya siasa kama mzee msekwa, kinana hawawezi kutumia hii hoja kwa tanzania.
Pia, hizi kashfa zitakuwa nyingi wakati huu. Sio jambo la kushangaa. Simtetei msizi ila mbowe kwa cheo chake ana uwezo huo kama ni kazi ya chama ila hiyo hela irudishwe maana haijatumika kwa siku alizobakiza.
Ila jamani kumchafua mtu personally namna hii bila uchunguzi wa kina hutendei familia zote mbili haki.
kuna vitu vingine havihitaji uchunguzi