Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

Status
Not open for further replies.
Kuna mmoja hapo Lumumba nasikia amezaa na shemeji yake na bado akampa na ukurugenzi tena analipwa kwa kodi za wananchi na huyo naye inakuwaje? Au huu sio ufisadi?
 
umesikika. Jitahidi ulete issues zenye maslahi kwa Taifa na sio kujadili nani katembea na nani.

Sent from my ALE-L02 using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom