Mwigulu Amegeukwa na Boss wake?

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,536
Reaction score
9,611
Huyu aliahidiwa atarithishwa kiti ili kulinda uovu wa october lakini sasahivi Yezebeli ameona ampe ahadi hiyo makamu wake endapo atafanikiwa kuteka hisia za watu.

Watanzania msikubali kuchezewa akili, hawa wote wanastahili kupelekwa mahali alipopelekwa Polepole. Haiwezekani mfanye mauaji halafu turidhiane, kamwe hatuta ridhiana na MAGAIDI.
 
Huenda ilikuwa ni nguvu ya soda.
Aliahidiwa Urais kupitia KKKT ..kwamba alitumie kanisa la KKKT kulichafua RC kisha iwe zamu ya mtu wa KKKT kuukwaa Urais..kupitia yeye..

Project ioijumuisha baadhi ya maaskofu na wachungaji akiwemo mchungaji Eliona Kimaro wa Kijitonyama, Askofu Shoo, na takataka Askofu Malasusa....

Project ikafa mapemaaa
 
Ukifanyia unyama binadamu wenzako unakuwa kama mwehu.

Nafsi yako inakuwa inakusuta kila siku, usingizi hupati unalazimika kutumia madawa au vilevi, unaogopa mwanga wa jua au taa unapenda kuishi gizani, unaogopa kuchangamana na watu unataka uishi peke yako.

Kila ukigeuka unaona watu uliowafanyia ubaya wamekuzunguka wanakulilia.

Maisha ni tofauti sana kabla na baada ya kuua
 
Ina make sense hii..
 
Watanzania msikubali kuchezewa akili, hawa wote wanastahili kupelekwa mahali alipopelekwa Polepole. Haiwezekani mfanye mauaji halafu turidhiane, kamwe hatuta ridhiana na MAGAIDI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…