Akabi kemanya
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 226
- 346
Uzuri wa huyu jamaa anajikubali nchi niyake msimtisheMzaha mzaha mwisho utunga usaha.
Kama ni kweli bunge litakuwa seriously safari hii namuona Mwigulu akirudi jimboni mapema.
Wabunge wengi waliochangia ripoti ya CAG wameelekeza lawama zote kwa waziri wa fedha wakisema kuwa yeye ndiye mlipaji mkuu wa serikali.
Sasa sijui kama huu moto ulioanza kukolea pale mjengoni kutamuwacha salama kaka yetu Maderu.View attachment 2578425
Mzaha mzaha mwisho utunga usaha.

Ndiyo maana wapo tayari kumpigia magoti kiongozi wao wa chama ilimradi wapate teuziReport ya CAG imetoka na ipo very open, lkn uvccm na wafia CCM hatuwaoni humu kutoa hoja zenu na kukemea wizi huu. Na hii inaonyesha waz kbs nanyi mnasubir kwa hamu nafas ili mje mfanye ufisadi!!
Hivi kulipa na kutumia Kuna husianaje?Mzaha mzaha mwisho utunga usaha.
Kama ni kweli bunge litakuwa seriously safari hii namuona Mwigulu akirudi jimboni mapema.
Wabunge wengi waliochangia ripoti ya CAG wameelekeza lawama zote kwa waziri wa fedha wakisema kuwa yeye ndiye mlipaji mkuu wa serikali.
Sasa sijui kama huu moto ulioanza kukolea pale mjengoni kutamuwacha salama kaka yetu Maderu.View attachment 2578425
Wewe unaota mzee,haya majizi hadi yalimfanya mama kuyatukana hadharaniHivi kulipa na kutumia Kuna husianaje?
Kwani kama Wizara za kisekta zimeleta invoice za malipo Sasa Waziri wa Fedha asitoe pesa kama nani?
Hiyo ni kazi ya Mwigulu? Hapa wahusika walioongeza bei huko kwenye Wizara zao na kufuja pesa ndio wawajibishwe Sasa unamuwajibisha Waziri wa Fedha Kwa lipi?
Ndio nasema Wizara ya Fedha imetoa pesa,Wizara zilizotumia na kufisadi zipi Sasa hapo Waziri wa Fedha na Rais wanahusikaje?Wewe unaota mzee,haya majizi hadi yalimfanya mama kuyatukana hadharani
Wamekua wajinga mno!Ndiyo maana wapo tayari kumpigia magoti kiongozi wao wa chama ilimradi wapate teuzi
Mzaha mzaha mwisho utunga usaha.
Kama ni kweli bunge litakuwa seriously safari hii namuona Mwigulu akirudi jimboni mapema.
Wabunge wengi waliochangia ripoti ya CAG wameelekeza lawama zote kwa waziri wa fedha wakisema kuwa yeye ndiye mlipaji mkuu wa serikali.
Sasa sijui kama huu moto ulioanza kukolea pale mjengoni kutamuwacha salama kaka yetu Maderu.View attachment 2578425
Hakuna Sheria mkuu katiba yakipumbavu mnoo... Ata wewe ukiwa waziri Leo ukaiba Billioni 50 ,hutokamatwa ,utavuliwa uwaziri na unatinga Bungeni kama mbunge rejea Wizi wa Tegeta EscrowHivi hakuna sheria inayoweza kutumika kukamata hizo mali za mshukiwa?