Mwigulu akaliwa kooni Ufisadi

Wabunge wengi waliochangia ripoti ya CAG wameelekeza lawama zote kwa waziri wa fedha wakisema kuwa yeye ndiye mlipaji mkuu wa serikali.
kwa mfumo wetu huu wa ukusanyaji hela nchi nzima afu zote zinakuja Hazina (centralized) afu ndiyo tena tunaanza kuzigawanya upya nchi nzima... aisee kumpata Waziri wa fedha aliye msafi ni ndoto.
 
Huyu jamaa asije kuwa anachukua hela zetu anakwenda kuwekeza Singida United, tumchunge.

Hizi allegation ni vema mkakusanya evidence kama mnataka ashughulikiwe. Kulalamika humu bila kuwa na ushaidi wowote ni sawa na kuongea na upepo
 
Mkuu malalamiko ni kitu cha awali kwa kila jambo kabla halijawa kubwa, usije kwenye maisha yako ukadharau malalamiko.

Malalamiko hayo hayaanza juzi wa jana. Humu ndani imekuwa ni muda mrefu sana but hakuna ana share hata evidence.
Utalalamika for how long? How about uende field kukusanya vielelezo?
 
Mimi naona shida yote ipo kww raisi maana ndo aliowawwka
 
Pesa inaibiwa halafu tunajiuliza tumuwajibishe nani wakati waziri muhusika wa fedha yupo anatuambia kama imetuuma sana tuhamie burundi πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Walio over-invoice Wana nguvu kuliko serikali ndiyo maana waziri ametafuta lugha ya kuwapumbaza watanzania ili waache kuwaongelea hawa watu wenye nguvu
Itakuwa naye anahusika,Uzuri Mama kasema wampishe
 
Mwigulu ndugu yangu ka upepo kamepuliza.... πŸ˜€ πŸ˜€
 
Na bado

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
timu imepanda daraja ndani ya mwaka mmoja inasajili wa brazil. hela haijulikani imepata wapi? Mmiliki hajulikani halafu hakuna hata anayeuliza yani. Kweli watanzania sisi ni...
Una akili sana wewe Mungu akubariki sana.Na ndiyo maana mimi mpaka leo hata siku zijazo sitowahi kumkubali Magufuri kwa kitendo cha kuifanyia Chato mipango mikakati ya kimaendeleo kuliko sehemu zingine za nchi.Mwigulu amekanyaga miguu ya Magufuri ndiyo maana kila anayehoji mambo ya maana majibu yake ni kejeli kejeli na mipasho isiyo na tija.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…