MwanaDiwani
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 5,536
- 2,268
Mh. Mwigulu Nchemba ni kiboko cha CHADEMA. Mtu mmoja tu anakisumbua chama chote mpaka wanakuja na mbinu ya kijinga na kitoto kama hiki.
Mh. Mwigulu anasimama kwenye hoja. Pesa haiwezi kununua hoja mbadala za Mh. Mwigulu.
Jengeni hoja na siyo kujenga wigo wa michango ya pesa. Mnaanza kutafuta pia mbinu nyingine ya kula pesa za wananchi wasiojua kilichoko nyuma ya michango yao.