Mwigulu akalia kuti kavu Iramba Magharibi

Mwigulu akalia kuti kavu Iramba Magharibi

Status
Not open for further replies.
Mbona BAN zimekuwa nyingi namna hii wakuu what is exaclty going on?
 
Mwigulu ni mtu mdogo ndani ya CCM muda si mrefu watamsahau wako wapi akina Tambwe Hiza,Ramadhani Mapuri,Yusuph Makamba,Wilson Mkama sasa huyu kinda hata CHADEMA hatunyimi usingizi CCM watamshughulikia kwa kukiharibia haiba chama kwa kumzushia Lwakatare kuwa gaidi na kusema anao ushahidi hata mbinguni anaweza kuupeleka
 
Katika hali ya kuonyesha wafuasi wa Chadema wamedhamiria kumuondoa kwenye ubunge Mwigulu Nchemba leo mbunge huyo ametoa kilio kikuu kwenye taarifa yake kwamba Chadema hawampi usingizi.

Hii ni baada ya mwanadada jasiri Jesca Kisoa kuongoza operesheni maalum ya kutembea kila kijiji akifanya mikutano ya hadhara,kutoa elimu ya uraia na kufungua mashina ya Chadema.

Hii inaitwa safisha njia kabla ya kuingia operesheni kubwa. jimboni humo itakayoongozwa na makamanda wa Chadema ambapo walau inakadiriwa kufanyika mikutano 170 katika jimbo hilo ambapo kila kitongoji kitafikiwa.
 
Last edited by a moderator:
Anzisheni kabisa mshahara wangu wa mwezi mmoja nitachangia

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hiyo ndiyo njia sahihi ya kung'oa vibaraka na viongizi wenye viburi na wauaji. She has my support already! Pls Jesca move on....pls cdm hakikisha hiyo mikutano inafanyika. Najua wanyairamba ni ujinga na umaskini vinawasumbua ila wakielimika watachukua huamzi sahihi.
 
Hv kweli ndani ya ccm hakuna mtu mwingine anayefaa kwenye nafasi ya unaibu katibu bara icpokuwa mwigulu tu, hata watu wenye heshima zao km kingunge, warioba, dr salim, sitta, mwakyembe, magufuli, kinana, mangula na wengine kwenye vikao vyao huwa wanajicfia kwa kuwa na jembe km mwigulu, km ni hv hakiamama ccm inaelekea kufa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom